PREZZO AMJIBU JAGUAR KWA KUTUONESHA GARI LAKE JIPYA LENYE THAMANI KUBWA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Unaambiwa wiki moja baada ya staa wa muziki Kenya (Jaguar) kuonyesha gari lake jipya aina ya Jaguar ambalo alionekana nalo alipokwenda kufanya show, zimetoka picha za nje ndani za gari analotembelea rapper CMB Prezzo wa Kenya ambae mara kadhaa waliingia kwenye headlines na Jaguar kwa malumbano mbalimbali ikiwemo kutambiana muziki, mali na uwezo wa kifedha.
Gari la Jaguar lenye thamani ya shilingi Milioni 16 za Kenya ambalo liko mwisho wa hii post, aliiingia nalo kwenye uwanja pembeni kabisa ya jukwaa alipokwenda kufanya show ambapo alishuka kwenye gari wakati time yake ya kupanda jukwaani ilipofika, alikua kalipaki karibu kabisa na ngazi za kupandia jukwaani.

Hili ndio Gari ya Jaguar

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duuu utamuweza huyo ww amnkitu pumbavu

    ReplyDelete
  2. Hamna lolote na ni muuza unga wa sembe!!!

    ReplyDelete
  3. Pongezi Zak Kaka Prezo

    ReplyDelete
  4. huyu prezoo c kazaliwa sehem ina pesa mbona hazizoei???? mshamba bayaaaaaa byee happy nw yr

    ReplyDelete

Top Post Ad