TETESI:OBAMA NA MKEWE MICHELLE WADAIWA KUTENGANA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Barack Obama na mkewe Michelle kila mmoja akionekana kuwa kivyake.
RAIS wa Marekani, Barack Obama na mkewe Michelle wanadaiwa kutengana. Habari zinadai kuwa wawili hao wanalala katika vyumba tofauti kwa sasa ndani ya Ikulu ya Marekani 'White House'.
Mgogoro baina ya wawili hao ulianza zamani na wameweza kuendelea kuishi pamoja kwa sababu ya watoto wao wawili wa kike Sasha na Malia na kulinda heshima ya urais.

Obama akimshika begani Waziri Mkuu wa Denmark, Helle Thorning-Schmidt, wakati wa mazishi ya Mandela nchini Afrika Kusini. Kulia ni Michelle Obama akiwa amenuna.

Michelle anadai amechoka na atakutana na mwanasheria wa masuala ya talaka ili aweze kuachana na rais huyo wa 44 nchini Marekani. Michelle ataendela kuishi Ikulu 'White House' kwa muda wote uliobaki katika kipindi cha utawala wa Obama, ila ameweka wazi kuwa watakuwa wakiishi vyumba tofauti.
Anataka kuishi katika chumba kimojawapo cha familia kilichowazi na anajiandaa kuhamisha nguo zake na kila kilicho chake kutoka kwenye jumba lao la kifahari la mamilioni ya dola lililopo Chicago.
Michelle alichanganyikiwa zaidi baada ya Obama kupiga picha za kimahaba akiwa na Waziri Mkuu wa Denmark, Helle Thorning-Schmidt, wakati wa mazishi ya marehemu Nelson Mandela nchini Afrika Kusini.
Obama mwenye miaka 52, alikuwa akifurahi, kunong'enezana na kumshika begani mrembo huyo mwenye umri wa miaka 46 ambaye amekuwa Waziri Mkuu wa Denmark tangu Oktoba 3, 2011.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hyo mbibi ana wivu sana te!

    ReplyDelete
    Replies
    1. wabongo kutwa munawaza kuchukuliana mabwana acheni ujinga wenu huyo Obama na Michele sio wa level yenu ongeleeni hao hao wa kwamtogole kwenu

      Delete
    2. Hapa ndio nimezidi kuona waandishi wa habari za kibongo wavivu, hii habari ya picha hii tafuteni online magazeti ya nje utaona wameandika walikuwa wapo hali yakuwa boring na game ya basketball walioenda kutizama wote walikuwa wanapigwa mihayo na mtoto wao mmoja Alilala Kabisa, siku tatu baadae walioonyeshwa wanapigana busu. Tuwe tunaandika habari sio umeona globalpublisher wanazusha na nyie mzue. Habari zetu pia tuandike kwa ukweli.

      Delete
    3. Black American women Drama jamani .nili date Demu mmoja hiyo duh Yaani kununa tuu,ugomvi wa kuzusha wako very insecure.ugomvi tuuuu.halafu vengeance ndio wenye we

      Delete
    4. Nime Cheki mtandaoni magazeti mpaka Times,La ,Mengi yameandika hizi habari .

      Delete
  2. Dada achana nae njoo bongo hapa Tandale tuishi maisha ya raha.jina langu kazoba muuza nyanya maarufu

    ReplyDelete
  3. Habari ya kipuuzi kabisa. Kweli hii udakuspecially

    ReplyDelete
  4. Mnacheza nyie kalieni udaku tu hakuna talaka wala separation, michelle na mama clinton lao moja watu wa kusamehe na maisha yanaendelea hata wakute wa ume zao wako naked they don't care.

    ReplyDelete
  5. achen ujinga yan mambo ya ndan mwao nyie mmeyajuaje, achen udaku wa kijinga!

    ReplyDelete
  6. Obama is know to be an undercover gay man. It is just a matter of time before the truth is out in public..

    ReplyDelete
    Replies
    1. VERY UNINFORMED ..

      Delete
    2. Thanks you .He is gay kwa mwanamke normal you can find anything attractive about Obama .michelle anajua Hilo na politics ndio imewaweka hapo .Na michelle aombe mungu Obama asitangaze ni gay ataweka wapi sura.

      Delete
    3. Kuna mawili Obama is gay or anapenda wazungu madem

      Delete
  7. Dah Udaku …..where do you get all these INFO???…..

    HAKUNA KITU KAMA HICHO…..

    ReplyDelete
  8. Hii blog ilianza vizuri lakini siku zinavyozidi kwenda inatia kichefuchefu na habari zake zingine za kupuuzi kweli, acha kuchukua habari global publisher, hiyo kitu siyo kweli we kaka acha ujinga.

    ReplyDelete
  9. Nyie endeleeni kucomenti upuuzi,mtachukuliwa IP address zetu muonje joto.

    ReplyDelete

Top Post Ad