LADIEZ YOU MUST READ THIS ! TABIA ZA WAVULANA PLAYERS!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


1. SMAT
Hataki kupatikana akiwa kawaida hata kama ni midnight, Yaani ni msafi hadi anachana nywele akienda kulala then anapiga
blanketi pasi.

2. SECURITY CODE KWA SIMU,
Huwezi access any detail from simu yake because hata akikuonesha pasword kesho yake anabadili ingine

3. AKIPIGIWA SIM MKIWA NAYE
Replies zake zinakuaga short because hataki usikie Story zake viburudisho Vyake.

Majibu yake yanakuaga tu, eeehh, sawa, okay,nimeskia, bye, donge?,

4. UNAMTUMIA MESSAGE BUT ANAREPLY 1HOUR LATER,,,

Then excuse zake ni ati, ooh swty Iwoz vry bizy, oooh nlikua nimeseti silent mode, ooh nilikuwa ndani gari.

5. ANAKUAGA CLOSE NA MADEM WENGI,,,,
Then anazuga eti oooh,,, she'z just a friend,,,,ooh,,, niligrow/nilisoma naye,,, blah blah.

MWANAWANEE UWONGO UWONGO ?WADADA CHUNGUZENI KABLA YA KUJIBU PLS
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. umekosa ya kuandika?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hizo ni sigh za closeted gay men Mbona .

      Delete
    2. Naomben kuuliza Nancy Sumar na jackline Mrs mengi na wenyewe wamefunga ndoa au wamezaa 2

      Delete
    3. Nancy kazaa na mume Wa mtu mwenye bongo5,klyn kazaa na mengi,labda watafunga ndoa hakuna kikwazo kwasababu Mengi Ana hela ndefuuuuuu Hamna wakumkataa kila demu anamtaka,Mali ndo mpango mzimaaaaa

      Delete
  2. Ha ha ha ha ha km ulijua vile maana na mie mpnz wng anatabia hizo zote yaan tabu tupu

    ReplyDelete
  3. Kwa hiyo ukiwa smart na utapiga pasi nguo hadi mashuka ni uplayer?umekosa cha kufanya mvua zinanyesha sana morogoro nakushauri nenda kanunue ardhi ulime utapata sio kupotosha watu humu

    ReplyDelete
  4. Sidhaani km ina matter any more kuwa au kutokuwa player, wanawake sk hizi warukia waume za watu kwa kwenda mbele.

    ReplyDelete
  5. hahahahahahah ukweli kweli unaumaaaa

    ReplyDelete
  6. Walivyo wahuni ni balaa. Boyfrend wangu wa zaman alikuwa hivyo hivyo, very smart sijapata ona,password ndo usiseme...muongo balaa. Nikaja kupata mwingine,ndo alonivisha pete...ni wa kawaida

    ReplyDelete
  7. Yaah hujakosea mwanaume wangu yuko hivyo hivyo! Kila mwanamke ni rafiki yake, uongo sasa ni number one, ma X wake wote ni ma rafiki zake . Yaani namvutia uradi dawa yake iko jikoni!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahaaaa umenichekesha sana dear,eti namvutia uradi daaah!

      Delete
    2. Kweli namvutia uradi, mwenyewe ananiona mjinga kuwa nimekufa nimeoza kumbe najipanga! Ni player ile mbaya, uongo sasa ni balaa lol

      Delete
  8. hiyo ya kwanza nimeikataa.... usafi ni hulka ya mtu hata kama akipiga pasi boxer ni hulka yake.. usafi sio uplayer bana.. rekebisha kauli yako..

    ReplyDelete
  9. Mi Cjui ban!coz mi ni plyr lakin sin Tabia hiz ki hivy,

    ReplyDelete
  10. manina zenu woote humu ndani kafirweni na chief kiumbe!!

    ReplyDelete
  11. kuma la mamako we bwege unaingia na kutukana wote akati wengine hawahucki unatombwa na mimi tena peku

    ReplyDelete

Top Post Ad