AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Waraka huo namba 3 wa mwongozo wa mavazi wa mwaka 2007 unawatka wafanyakazi wote wa ofisi za umma na wananchi wote kutokuvaa mavazi yafuatayo:-
-Jeans
-Nguo zenye maandishi yoyote
-Nguo zinazobana mwili wako
-Nguo zilizo juu ya magoti (sketi/gauni)
-Kaptula
-Pedo
-Jezi za timu za mpira
-Nguo za chama chochote cha siasa
-Suruali ambazo hazijapindwa
-Blauz zinazoacha kifua/mgongo wazi
-Kuvaa mlegezo
Waraka huo ulikuwepo ila uekelezaji haukufanyika,hivyo kwanzia mwaka huu utaanza kutumika nchi nzima.
Wananchi usiende ofisi za umma ukiwa umevaa mavazi tajwa hapo juu,utaishia kufukuzwa bila kuhudumiwa...
NINI MAONI YAKO?
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Eti suruali ambazo hazijapindwa, jeans, bora wangesema nguo zisizositiri mwili.Hivi kuna mtu anavaa suruali za kupinda sasa hivi?mbona ni style ya mwaka 47.Jeans ni vazi la Europe tunavaa kanisani, maofisini, na kwenye occasion mbalimbali.Kwann wabongo mnaliona halifai?
ReplyDeleteNaomba nifahamishwe sababu tatu zinazosababisha jeans kupigwa marufuku, ikizingatiwa jeans ni mojawapo ya nguo kama kodrai, na kadet, smahani kiingereza sijui vizuri lakini nadhani nimeeleweka
ReplyDeleteMdau wa 4.45am Europe hawaruhusu kuvaa jeans ofisini labda ukienda kubeba box
ReplyDeleteNimeipenda hii system
ReplyDeletekweli hazifai
ReplyDeletemdau 5.45 europe hipi hawaruhusu jeans ofisini
ReplyDeletehIzo ni kelele za kila siku tushazizoea ila kikubwa tufanye kazi kwa bidii Serikali inasema (BIG RESULT NOW ) ionekane sasa sio kuangalia mtu kaingiaje ofsn mara katokaje yote ya nn?
ReplyDelete