MAPENZI SHIDAAA...BINTI ANALAZIMISHA NDOA ANATAKA KUNISAIDIA KUTOA MAHARI...USHURI JAMANI...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Awali ya yote nina mwanamke mmoja ambaye tulianza naye mapenzi toka tuanze wote kazi kwa sababu tumeajiliwa sehemu moja ila tu tunatofautiana sehemu ya kufanyia kazi yeye anafanyia wilayani na mimi nafanyia mkoani sasa toka tuanze imefika kipindi akabeba ujauzito na saizi ni miezi mitano tangu abebe huo ujauzito sasa anataka nikatoe mahali kwao ili wanitambue wazazi wake rasmi yeye ndio mpanga mahali na anasema ni milioni moja mahali pamoja na masufuria ya shangazi na babu na branket la bibi.Mimi nikamwambia kuwa hicho kiasi sina akasema kuwa yeye atoe laki nne na mimi nimalizie laki sita na leo kanipigia simu kuwa inatakiwa ipelekwe barua ya kishika uchumba pamoja na elfu therathini mimi pia nikasema kuwa saizi sina hela yeye akasema kuwa mimi niandike barua atakuja kuichukua na ataituma nyumbani kwao kwa njia ya posta na ataiweka hiyo elfu therethini na kuituma nyumbani sasa ninachojiuliza ataka tuoane mapema ili amiliki baadhi ya vitu vyangu na pale tutakapotofautiana tugawane kwa sababu ni kabanda kangu kakisasa kabisa na nikikubali atoe siku tumegombana si ndio ataanza kutamba kuwa nilikutolea na mahali au anaharakisha ili aje tukae wote ili kakibanda kangu afanye kiburi ili tukauze jamani hebu tupeane mawazo na kimri ananizidi yeye ana 28 na mimi nina 25.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe, ana mtoto wako, acha ubahiri, ni wajibu wako kufanya yote hayo umlipie mahar, na mengine kibao, unafikir, kuna mwanamke asie taka vitu? Acha tamaaa amua kama unaanza maisha mjulishe muanze kama bado,mjulishe! Pia

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tena tuondolee upuuzi wako apa, wakati una have nae sex hukujua anakuzidi umri, nenda kajitambulishe umr ni namba tu

      Delete
  2. we nyoko kweli

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha upuuzi,tena umuoe,wakati mnatembea bila condom ulitegemea nini?

      Delete
  3. Unaye Huyo,c Ulikuwa Unaona Raha Kuingza,af Wanawake Kama Hao Wanakuaga Wakorof Kwenye Ndoa

    ReplyDelete
  4. hawa wanaume vibamia wanamatatizo huyo mwanamke karisk maisha yake kubeba mimba yako hapo anaweza akafa akijifungua na matatizo mengine kibao yanayompata kwenye mwili wake wewe mjinga unawaza mali na kibanda chako acheni utoto katoe mahari mtoto wako azaliwe kwenye ndoa au mtoto wako atajulikana kwa jina mwanaharamu, nje cup, mtoto wa nje, na majina mengine kibao

    ReplyDelete
  5. Haichekeshi unajionyesha jinsi gani unayaogopa majukumu miaka 25 usingetaka mtoto ungevaa condom

    ReplyDelete
    Replies
    1. POLE KAKA NDO MAPENZI, NA STAILI YA SIKU HIZI WANAUME GHALAMA, WADADA WANAJITOLEA MAHALI. FASHENI YA MJINI. BAADHI YA NDOA ZA MJINI ZOTE UNAZOONA WANAUME WANABEBWA KATKA HARUSI. WASICHANA WANATAKA SIFA YA KUITWA MAMA ALIYEOLEWA, MWISHOWE UZALAULIWA KWA SABABABU UMEJIOA. HESHIMA KUTOLEWA MAHALI BWANA, ASIKWAMBIE MTU

      Delete
  6. lione kwanza bahiri hili!! unathamin hela kuliko maisha ya mtu, huyo mtoto si wako? tena umuoe haraka sanaa, kwanza anakusaidia kulipa mahari unatakiwa umshukuru, bado unajishaua hapo, watamchukuwa wengine ambao wanajua kupenda na usimpate tena pumbaffffffffffffffffff

    ReplyDelete
  7. POLE KAKA NDO MAPENZI, NA STAILI YA SIKU HIZI WANAUME GHALAMA, WADADA WANAJITOLEA MAHALI. FASHENI YA MJINI. BAADHI YA NDOA ZA MJINI ZOTE UNAZOONA WANAUME WANABEBWA KATKA HARUSI. WASICHANA WANATAKA SIFA YA KUITWA MAMA ALIYEOLEWA, MWISHOWE UZALAULIWA KWA SABABABU UMEJIOA. HESHIMA KUTOLEWA MAHALI BWANA, ASIKWAMBIE MTU

    ReplyDelete
  8. Make a wise decision my friend coz umri unakwenda so ulikuwa unakula mzingo bila Condom that is a result, You must accept after-roll Ndio muda wa kuweka jiko ndani. Kuikata mimba ni sawa na Mwana kumukata. Muoe huyo dada kwa sababu anania nzuri na ww then umri una songa. THINK TWICE MY FRIEND

    ReplyDelete
  9. Naungana na wewe 11:20,huyo hana lolote anaogopa majukumu tu,eti mkubwa kwangu!Ndo ufanye umuoe huyo dada wa watu!

    ReplyDelete
  10. hiloooooo hata huna haya dada wa watu anakupenda afuu unajifanya uko bize ...tatizo wanaume mkipendwa mnajiona ma super staa ye anachojali ni huyo mtt wake asikae bila baba iv unafikiri anashindwa kumlea mtt wake .... acha upumbavu lea mtt wakooo kubwa zima ovyooo....

    ReplyDelete

Top Post Ad