RAY C AFUNGUKA ASEMA JACKIE CLIFF ANYONGWE KWA KOSA LA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rehema Chalamila amekasirika na kwa jinsi ambavyo anawachukia wauza unga, hana hata chembe ya huruma kwa Jackie Cliff aliyekamatwa na madawa ya kulevya huko Macau, China mwezi December mwaka jana, 2013.Awali Ray C aliweka picha Instagram ya Jackie akiwa amekamatwa na vyombo vya dola nchini humo bila kuandika chochote, lakini mizuka ya kufunguka ilikuja kupanda baada ya baadhi ya followers wake kumtetea Jackie.Wewe tulia mi na hasira maana najua walichonifanya Hawa wauzaji!?!niliingia kwenye madawa na niliwapa kila Kitu hawa wauzaji ili nipate unga maana tayari nilikuwa nimeshaathirika,hawakunionea huruma pamoja na aibu yote walichotaka wao ni pesa ili nipone ndio niheme!!!!!!nilipokuwa na hela walinithamini ila nilipoishiwa walinilaza kwenye box na arosto!!!niliwaomba hata kidogo ili nisiumwe but hawakunielewa ingawa nilishawapa mamilioni ya hela Na nyumba nikauza!!!!!!!sikia tu arosto na omba isiwahi kutokea kwa ndugu yako wala mtoto wako!!!!!!jinsi mama yangu alivyohangaika Na Mimi k**aninA huyu jacky afe tu mbwa mkubwa!!!!na muuaji ndugu za watu wanalala barabarani mmpaka tunaimbwa teja wa mapenzi!!!!yani acha kabisa!!!wafe wanyongwe,mafirauni wenye dhambi kubwa mbele ya mungu!!!ktk jina la yesu!!!!Wanyongwe!!!!!!!Kill them,” aliandika Ray C.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mh hapa sina usemi man! !!!!!

    ReplyDelete
  2. Kwani ulitumwa utumie na wewe?

    ReplyDelete
  3. wacha uongo huo bado unatumia kisirisiri!

    ReplyDelete
  4. RAY C WE NI MAKU MWEUSI,WE ULIKUWA UNATUMIA ULINYONGWA?ALIKUTUMA NANI UKATUMIE MALAYA WEWE

    ReplyDelete
  5. Mi nakuombea kwa Mungu utoke jacq maneno ya wakosaji yasikupe presha mama ...i believe utatoka mwisho wa siku mbinguni zote dhambi hamna ndogo wala kubwa uongo na mauaji zote kesi mahakamani

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ngoja atoke aje amuuzie mwanao or ndugu yako, ndio utaomba vizuri!! Jacky ni muhalifu na sheria imefuta mkondo wake. Sasa wewe unazungumzia maneno yapi ya wakosaji!? Ebu jielewe basi aaghrr

      Delete
  6. WE RC UCUKUM WENZIO JAPO NKWEL INAUMZA

    ReplyDelete
  7. Mi binafsi namuelewa Ray C, sasa nyie mlitaka afurahie au!!?? Drugs zilitaka kumuuwa now anaona binti anaziuza makusudi na kuharibu taifa ili avae CL..mnataka akae kimya!!! Watanzania bado kabisa..mnakera sana na uelewa wenu finyu. SMH

    ReplyDelete
  8. Anyongwe kweli muuaji mkubwa hajui njia nyengine ya kutafuta pesa mpk afanye ujinga huo me nakuunga mkono ray c. Mahasidi hawa watu

    ReplyDelete
  9. wasenge wakubwa nyote na huyo RAY C, angekuwa ndugu yako usingesema hivyo

    ReplyDelete
  10. Hao wadada wanaotafuta hela masokoni ni wajinga au, yy anataka shotcut acha afe

    ReplyDelete

Top Post Ad