MMH HAPA YALIKUWEPO MAPENZI KWELI?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Heri ya mwaka mpya wanajamvi!!!!! 
Mwenzenu nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja hivi, nilichoexperience ndio utata mtupu!!!!!!! 
From the second date hata sijasema ndio, anawaza tu when are we going to sex!!!! 
Nikaona duh!!! Sijui itakuwaje coz mi Nataka nimsome kwanza nimuelewe kabla ya mambo mengine.
Then came the third date hapo nimeshakubali, baby can i pay for a room!!!!"haaaa!!!!!!! hapana its too soon hata mwezi haujaisha!!!!
Kilichofuata tukawa hatuwasiliani for a week,solutions aliponitafuta tu anauliza when are we going to do it!!!!! Mh nikamzingua ,mawasiliano yakawa yakusuasua sana ila nikawa nimeshamsoma yuko selfish mno.
Katika kipindi hicho sijawahi kutaka chochote kutoka kwake in terms of cash mwisho nikaona what am i waiting for,mapenzi siyaoni kisa nimegoma kutanguliza sex. 
Nikamwacha tu aende atakutana na wanaotaka pesa in exchange for sex hatakama mapenzi hayapo. 
Mtizamo wenu ukoje great thinkers!!!! Nilikuwa sahihi kuona he was only after sex!!!!!!!
By  afrique 
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yeah,you was right because ur man was after sex and he didn't want to give u time to think about it.Money can buy so many things but can't buy love.Ur decision to let him go was right.

    ReplyDelete
  2. big up dada, wanaume wengine bwana unashindwa uwaweke kundi gani,

    ReplyDelete
  3. ungempa, sasa hivi ungekuwa freshi sana mfukoni

    ReplyDelete
  4. na nyie wanawake siku hizi hamueleweki mnataka nini? wengine maboifrend kibao kwa wakati mmoja!

    ReplyDelete
  5. umefanya la maana coz nowdays watu wanajitumia kwa starehe but no economically

    ReplyDelete
  6. huna lolote sema hukuvutiwa nae tu otherwise ungempa, kwani hao unaowapa wote umekuwa nao kwa zaidi ya mwezi? mabinti wote micharuko tu nyie mpo ili tuwatumie tu nyoko zenu hakuna cha msimamo wala nini.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hivi unaakili kweli wewe? na unapost hii coment mara 2 mbili, unajiona umeongea point sana au? unaonekana wewe ni dv 6 dada upo sahihi kabisa hongera sana achana na huyu mpuuzi wa mwisho, toa wewe usiekua na akili utoe mpaka tigo.

      Delete
  7. huna lolote sema hukuvutiwa nae tu otherwise ungempa, kwani hao unaowapa wote umekuwa nao kwa zaidi ya mwezi? mabinti wote micharuko tu nyie mpo ili tuwatumie tu nyoko zenu hakuna cha msimamo wala nini.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unadhan mamako alimpa babako punani date ya pili tu? Embu jiheshimu huna lolote msonyo tena ww utakua uliomba siku ya kwanz

      Delete
  8. we anonymous 3:40 huna akili kabixa coz huyo mcichana yuko xawa manaume ya cku hizi yamekalia kugongana yanasubir kulishwa tu ...linaenda bar hata mia halina unategemea nini acheni kujibweteka ....usisema wasichana nyoko nyie wanaume ndo machizi kabixa......kama mtu unajiamini kuwa haupo after sex huwezi kumwambia dem 2days mfanye sex yani hilonjanaume litakua linataka likuue achana nalo my sister......God bless uuu...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuma la mama yako nenda huyo jamaa akakutombe wewe basi.

      Delete
  9. hongera dada kwa msimamo mzur coz mana wanaume wa cku hz bora hata magendaheka

    ReplyDelete
  10. wanawake bwana mnanichekesha sana,nyie mbona mnatongozwa leo kesho mnaomba hela tena nyingi?msipopewa mnasema jamaa bairi,mnalaumu upande wa wanaume tu,ya kwenu hamyaon,pumbav

    ReplyDelete
  11. kweli huyo msichana ni mpumbavu sasa nayenyewe niyakutuambia, mbona hukutuambia uliyemwomba ela siku ya kwanza? kwanza we nakufahamu ni sifa tu ulimuomba ela akakuzingua kwa kukuambia hilo tendo. mpumbavu.

    ReplyDelete
  12. u r corect bt mi nipo jamani nawezavumilia hata miaka mia nane..my no. T522 CHK

    ReplyDelete
  13. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  14. shughuli zote wanawake mwazitaka nyie, we kitchen party zote uuzurie....halafu kinachoonyeshwa humo ni nani kaavaje,kafanyaje,kasemaje...waaangalie kwanza

    ReplyDelete
  15. uko sahihi sans

    ReplyDelete

Top Post Ad