WEMA ASEMA MARTINI KADINDA NDIO MWENYE SIRI YA KILA MAFANIKIO ANAYOYAPATA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MSANII nyota wa filamu Bongo Wema Isack Sepetu amefunguka kwa kudai kuwa hawezi kuvunja urafiki na meneja wake Martin Kadinda kwa sababu kama kuna kitu chochote cha mafanikio nyuma yake yupo Kadinda.

Wema Sepetu ameuambia mtandao wa FilamCentral  kuwa hana rafiki anayejua siri zake zaidi ya meneja huyo ambaye amekuwa akimuongoza vema. 

“Kadinda ndo kila kitu kwangu, hata akiondoka na kukaa mbali na mimi kwa muda mrefu ninapokutana naye tu, nitamweleza kila kitu toka siku ya mwisho tuliyoachana, hivyo inakuwa kama sijapoteana naye,yaani ni kama vile nipo naye kila siku iendayo kwa Mungu,”anasema Wema.

Msanii huyu ameendelea kusema kwamba hata kampuni yake ya Endless Fame film aliifungua kwa msaada wa Kadinda baada ya kumshauri  kuwa kwa hadhi yake anastahili kuwa na kampuni na aache kuigiza filamu za watu wengine.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo kampuni imewahi kutoa any movie kweli.

    ReplyDelete
  2. mapoz gani hayo,

    ReplyDelete
    Replies
    1. eeeet mtu na meneja halooo lkn kadinda c haDINDI teh teh

      Delete
  3. kweli lkn hv hyo kampuni imeshatoa movie gn wajameni??

    ReplyDelete
  4. hata me nashangaa, nimda mrefu sasa hakuna kitu, mashauzi tu

    ReplyDelete
  5. Mbona hatuoni filamu au kampuni inahusika na nn ,wema hatukuelewi.

    ReplyDelete
  6. Hivi wema na diamond mmelishana yamini?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Du masikini penny alijipa ashua kwamba yeye ndie mamaa naseeb,tulikuonya,pendwa na mwanaume kwanza sio mawifi na mama mkwe.kwani mawifi na mama mkwe ndio unaolala nao kitanda kimoja?

      Delete
  7. izo ni makofi za kilo

    ReplyDelete

Top Post Ad