ZITTO:NIPO TAYARI KUPOKEA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA KESHO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Akizungumza katika kipindi cha Baragumu kinachorushwa na televisheni ya Channel 10, Zitto amesema yupo tayari kupokea maamuzi ya kikao cha kamati kuu ambacho kitakaa kesho.japo anaonyesha maamuzi hayo yatakuwa siyo ya haki.

Zitto amekuwa mpole sana na anaonyesha kujua maamuzi ya kikao cha kesho kitu ambacho anasema yeye kama mwanasiasa lazima ajiandae kisaikolojia.

Ila amesema akishindwa kutafuta haki ndani ya chama basi atatumia katiba kupata haki.

Update:
- Zitto anasema watazunguka nchi nzima. Hii imekuja wakati akijibu swali kutoka Karatu swali je watazunguka na nani? Na kupitia chama gani?


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. So tired with the newz of that little rat zitto, it makes me sick, he is a spent force already! dont have something else to give us udaku special?

    ReplyDelete
  2. Chadema, kama mkimgundua ni MAMLUKI, mfukuzeni sababu huyu jamaa haeleweki, na hatafika popote, sababu ya tamaa zake, mwacheni aende kwa mafisadi wanao mlea, Mungu yupo kama akitaka mabadiliko yatokee, yatatokea tu bila hawa walafi.

    ReplyDelete
  3. Hivi mkiwaamini hawa wanasiasa mnadhani tutakua tumejikomboa kweli ? Mabadiliko yanaanza na ww na mm ,tz take care

    ReplyDelete
  4. hao kamati housing engine hiyo sasa kuma zenu

    ReplyDelete
  5. Zito, ana hama chadema, ki aina, ha ha ha huyo ni ccm, hamkumjua tu!

    ReplyDelete
  6. mwache ahame, chadema ina vijana wengi tu hodari, na huyu jamaa alishagundulika muda mrefu, wasiokuwa na fikra watamfuata huko, zito siyo chama bwana!

    ReplyDelete
  7. hao vijana unaosema ni wengi wapo wapi ulipowatunza, acha kuota ndoto za mchana. kila kura ina faida yake

    ReplyDelete
  8. badala ya kujenga chama mnakuwa mnamkalia zitto, viongozi wa chadema acheni upuuzi, msameheni 2jenge chama. ww mnyika na lema wote mamluki wa mbowe acheni chuki binafsi wala msijiridhishe kuwa mna vijana wengi nasi tunawasubiri tu mje majimboni kwetu mtatuambia vizuri na siasa zenu za uchwara na chuki binafsi

    ReplyDelete
  9. mnapotuambia tule ccm kulala chadema mna maana gani? lazima joto ya jiwe muionje kwa yeyote aliyemsingizia zitto kwenye jimbo lake huyo cio chacha wangwe bwana.

    ReplyDelete
  10. na chadema hamtakuwa tena na amani kuhusu zitto mpaka uchaguzi utakapo kwisha huyo ndiyo hirizi ya chadema hebu mthubutu muone

    ReplyDelete
  11. mimi ninaye mshangaa ni lissu mbona hajawahi kusimamia sheria kabisa nadhani hata uanasheria wake una mashaka kwangu hata raisi naye kaliona hili, hata katiba ya chama chake haijui kabisa.

    ReplyDelete
  12. ccm tumepata point za kuimaliza chadema, kwani ukabila, udini na ukanda unawatafuna hao hawataki kabsa kushirikiana na watu wengine.

    ReplyDelete
  13. silaa alidhani kigoma watamponda zitto, sasa alionja mziki wa waha. na tunasubiri uchaguzi ujao kama utapata kura kigoma wewe ni mwanaume, unatuharibia chama na kadi yako ya ccm uliyokuja nayo chadema mamluki mkubwa wewe

    ReplyDelete
  14. Kama mtanzania utajikomboa mwenyewe but si chama fulani kita kukomboa.Know that

    ReplyDelete

Top Post Ad