AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
KATIKA MAHAUSGELO bom huyu wa kwanza hajui kupika wala kufua, sioni sababu hata moja ya kumlipa hii alfu hamsini kwa mwezi, anaemtaka anambie kwenye comment nimkabidhi maana nilimtoa kijijini kwao alipomaliza la saba nikajua atanisaidia kumbe hakuna kitu. Nirudishiwe nauli tu ya kumtoa kijijini. Asante kwa kunisikiliza
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
nani wa kula matapishi yako
ReplyDeleteUshauri mpwndwa kama hakufai mrudishe ulipo mtoa.unaweza ukampa mtu mwingine alafu akapata matatizo,na kwao wanakujua wewe.uyo ni binadamu sio kitu ,kwamba ukiona hakifai utatupa au uta mpa mtu.kwako anaweza akawa hakufai lakini kwa wenye nao anathamani kubwa sana
ReplyDeleteMi nataka housegirl kwel serious
ReplyDeletemmmh npatie mimi maana
ReplyDeletehata mm namtaka kwel...!
ReplyDeleteMfundishe! Umeshasema katoka kijijini na darasa la saba, ulikuwa unategemea nini? Au unaogopa alivyoanza kunawiri?
ReplyDeleteHuyu mpumbavu mkubwa anayedhan mtu anauzwa. Angekuwa mtoto wa dadako ungemtafutia mtu wa kumchukua. Angalia utu wewe leo upo kesho ukifa nani ataangalia watoto wako kama hawatakuwa mahausigelo kama huyo. Mie pia ninae housgel hajui majukum yake kabisa ila namfundisha na najua atajua tu. Mrudishe kwao ww. Kuwa na utu,,,pesa mavi gan!!!
ReplyDeletehuyu kweli hana utu hata kidogo. na sidhani kama unaweza kuishi na dada wa kazi. kwa jinsi ulivyojieleza inaonyeasha una roho mbaya kama ya mkaanga sumu.
ReplyDeleteNipatie phone no.unipatie huyo house girl m'y phone:0785-596604
ReplyDeleteHuyo muongo anawatia ujinga tu.
ReplyDeletemimi nataka TIGO tu kama anatowa weka namba ya simu yake
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeletenamjua huyo house girl mcheki kwenye........chumbachaudaku.blogspot.com
ReplyDelete