AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Nimekutana na hizi picha za Hemedy akimbusu msanii wa muziki na filamu Najma na maneno yalioambatana na picha hizo yakizungumzia ndoa na harusi....Huenda sasa hawa ni mambo safi ...Najma alikuwa ni mpenzi wa Mr Blue zamani ......
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Bassawa....! Baada miez kadhaa utaskia mengine...
ReplyDeleteKiruuu. Mahaba niueeee. mtazungukana sana
ReplyDeleteUmeona mdau hapo juu uyu demu ni jiran yangu khaaa ngoja niishie hapo
ReplyDeleteNaipenda sn hii couple kama ni kwli
ReplyDeleteaaah wp uyo dem ni mdogo ake nasra, uyo nasra kamuuza sana uyo najma nw ashakua sugu, + hemed=majanga! Ndoa hamna hapo
ReplyDeleteHahaha wamependeza sana pamoja...nawatakiya kila la kheri
ReplyDeleteNgoma itambae mm nabisha hodi
ReplyDeleteMapenzi ya mastaa yerewi Masawe nirudishie chenji yangu,Nataka nikampe Manka anipe dove
ReplyDeleteHakuna lolote hapo
ReplyDelete