AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hapo ngoma droo!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteMKE NDIYO MUONGO ZAIDI SABABU NI VIGUMU KUMSHIKA, hii michezo wanajua kuichea kama PELE!
ReplyDeleteMimi ni MWANAMKE nasema MWANAMKE Muongo zaidi
ReplyDeleteHiyo ngoma droo, we unsema mwanamke muongo labda wa tanesco
DeleteWote ni waongo...ila siku hizi wanaume wamezid jaman...
DeleteWanawake wanaongoza kwa ulalamishi
ReplyDeleteWanaume ndo wanaongo jamani wanadanganyika zaidi na michina,
ReplyDeletewanaume ndo waongo zaidi ,ukiyabania kwenye kona yanasema ukweli ila mwanamke hata umuofoo....hafunguki ng'oo....
ReplyDeleteWanawake wanatiwa sana siku hizi jamani duh hadi aibu.
ReplyDeleteSana tu! Zama hzi huwezi shindana na mwanamke kama huamini angalia movie ya ufoo saro, ilala ndo utaelewa
ReplyDeleteanayetongozwa ni rahisi kushawishika ,,,,,,achana na WADADA ni janga. Uliza sisi yalishatukuta
ReplyDelete