AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mwanasheria WA TFF, Allex Mgongolwa amesema kuwa mshambuliaji Emmanuel Okwi yupo huru kucheza Yanga na wala Sakata lake lisipotoshwe. Mgongolwa alisema watu wamekuwa wakipotosha kuhusu Sakata la mchezaji huyo "Hicho kipengele wanachosema kama amecheza klabu mbili kwenye mashindano husika haruhusiwi kucheza klabu ya tatu, kipengele hicho kingepata nguvu kama kungekuwa na zuio la muda, lakni hakuna zuio lolote, ndio maana Fifa wakamruhusu" source Mwananchi
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
mashetani mekundu yatalia tu, kila siku yanajaribu kuzuia Okwwwwiiiiii asikipige DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANN!!! watalia tu!!
ReplyDeleterage keshakula hela ya okwiiiiii
Delete