AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
UNAONAJE ATAWEZA AU NDIO ATAPELEKA BUNGENI VICHEKESHO?
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Atakayempa kula kingwendu na yeye atakuwa chizi atutaki comedy bungeni sisi
ReplyDeleteLabda akagombee kwao huko burundi KWANZa si mtanzania !
ReplyDeletetunahitaji binge la watu makini SI mzaha kama yeye.
ReplyDeletewewe ni div 5.sio binge ni bunge
Deletekwa shule gani uliyo nayo ww mpaka uingie bungeni? usichekeshe walio nuna mwanawane.
ReplyDeleteKwani profesa maji marefu ana elimu gani?
ReplyDeleteTrue! Bora huyu kuliko huyo deep water!!!!!!
Deletemi naona watamchagua wendawazimu wenzake
ReplyDeleteacha kuish kwa ndoto kaka kama umeshndwa futuhi jaribu kitu kingine.TUNAJENGA UNA BOMOA PUMBAVU!
ReplyDeleteUnaleta comedy mpaka kwenye blog hiyo kula nani akupe? We bwege nini umechoka kucomedy sio,
ReplyDeleteMbona Sugu kaweza........Bunge hili ni mipasho na udaku tuu..
ReplyDeleteataweza tu, mbona nkamia kaweza, ntakupa kura angu kingwendu oyeeeeee
ReplyDeleteNchi imefikia hapo,kwa kuwa wenye uwezo ,hawafanyi walichotakiwa,sana na yule jamaa alisema muungano wa ,,,,,, na zimbabwe hiyo haitatoka kwenye historis ya dunia.
ReplyDeletesasa huyu na diva bora nan mwacheni mwenzenu ndoto n buree na ww uko free kudream...watanzania ndo mana hatuendelei ful kukatshana tamaa
ReplyDeletesiasa sio sehem yakutokea kimaisha jaman
ReplyDeletekwani kigwendu kaanza lini futuhi jamani
ReplyDeleteANAWEZA JE HAWA WAMEWEZA? AU HAWAKUWEZA? JUMA NKAMIA, SUGU, VICK KAMATA, KOMBA. MI NAMPAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
ReplyDelete