AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
WAKATI kesi yake juu ya kifo cha aliyekuwa nyota wa filamu Bongo, Steven Kanumba ikianza kurindima leo katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametoa la moyoni akikumbuka mapenzi ya jamaa huyo aliyetangulia mbele za haki.
Lulu alifunguka hayo mwishoni mwa wiki iliyopita, Siku ya Wapendanao (Valentine’s Day) iliyosherehekewa duniani kote Ijumaa iliyopita.
“Kuna mtu natamani kumtakia Happy Valentine’s Day kwa kuwa nakumbuka mapenzi yake kwangu lakini kwa bahati mbaya siwezi kwa sababu hayupo na haiwezekani tena,” alisema Lulu.
Hata hivyo, alipobanwa amtaje, staa huyo ambaye ni sura ya mauzo ya filamu za Kibongo alikiri kuwa ni Kanumba aliyefariki dunia Aprili 7, 2012, siku ambayo kamwe hawezi kuisahau maishani mwake.
Credits:Global Publishers
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
http://VisitorsToCash.com/?invite=4137
ReplyDeleteout of topic mdau 2:56 am, mwizi mkubwa.....
ReplyDeleteKwani we hujui? Huyo 2:56 nitapeli wa kufa mtu. Yy hana comments zaidi ya kufanya promo ya huo utapeli wake mmamae zake. Wabongo kwa kupenda shortcut watamegwa sana kwa kupenda pesa za bure.
DeleteHuyo 2.56 hapo juu atawapata wajinga manake hawakosekani..mi hata sija-click hapo manake najua ni utapeli tu.
ReplyDeleteWee muongo umeclick
ReplyDeleteHUYU MKUNDU MALAYA JINI MTOA ROHO ZA WANAUMEE...MKIMBIEN...KWA WANAUME MNAOHITAJ KUISH
ReplyDelete