AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Sawa mwanawane wabeja sana itapunguza ulalamishi
ReplyDeleteWABUNGE WA BUNGE LA KATIBA WAMEFEDHEHESHA TAIFA JAMANI. WAMEONESHA NI JINSI GANI KATIBA YA NCHI HAINA THAMANI, YENYE THAMANI NI POSHO KWENYE MATUMBO YAO. YAANI UTAFIKIRI WAO NI MASIKINI WA KULILIA POSHO. MKUBWA CHAPA VIBOKO WOTE HAO!
ReplyDeleteMasanja hao hawana hadhi ya UDOM hao kwa tabia waliyoionesha wangewekwa Dodoma Inn, serengeti na tarangire, halafu wapewe posho ya shs. 50,000 per day usafiri wakodiwe Champion bado wangejiona wamefaidi maana wengi wao hata hiyo 20,000 kwa siku hawapati.
ReplyDelete0.3 Mil kwa siku wakati mwalimu analipwa 0.2M kwa mwezi halafu wanadai kuongezewa tena
ReplyDeleteHUU NI UNYAMA