AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Tume inayongozwa na Jiji Warioba,iliteuliwa na Raisi hivyo kuwaita wanaotaka serekali tatu ni wahuni,afahamu kwamba kamtukana mkuu wake na sio mwingine.
Na kama raisi alipokea maoni rasimu iliyokuwa na serekali tatu,ambazo Nape anaita ni wahuni,sasa asilimia 63% ya watz ni wahuni?
JK hataki misimamo ya vyama bungeni, nyie serekali mbili mnatoa wapi?
Maoni ya watanzani yanatakiwa kuheshimiwa na kulindwa kwa gharama yoyote hata ikibidi,kumwajika kwa damu,Lengo kuheshimu Sauti ya Umma
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hivi wewe Nape ni nani?sisi wananchi ndo tunataka, mpuuzi ni wewe uliyepata div iv
ReplyDeleteNape mbumbumbu huyo..anadhani hii nchi yake
ReplyDelete