AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Nikupe pole nyingine baada ya ile ya juzi kati kukueleza vichomi ulivyotegeshewa na ambavyo vimeanza kukuchinjia baharini tena kuleeeee Nungwiiiii, Naam umepigwa kufuli kutojishughulisha na siasa za uongozi mpaka mwezi wa pili mwakani,
Sasa ulijiandaa kuteka siasa kwamgongo wa katiba mpya, ikawa usiku ikawa mchana, naaam leo Chenge kakulamba chenga ya kisigino, ndio kakutelekeza, tena alfajiri tu.
Chenge kaiona pepo japo ni ya masika tu na kaniki haifuliwi kwa maji ya mvua.
Chenge hatunae tena kwenye anga la ukuu wa katiba mpya, sasa ni yuleyule aliyekupeleka kibla mnamo 2007, si mwingine ni Samwel Sitta mbabe wako kutoka CCJ.
Wayajua mapigo mawili yaliyo mbele yako??
Haya tutaftane..."
By Yericko Nyerere From JF
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Taarifa iko ki udaku mno.mnatumalizia bundle zetu bila sababu!!!!!
ReplyDeletetutaftane ndo nini?, we sangoma nini? acha roho mbaya, huwa tunawasifia waliofanikiwa na sio kuwaponda walioshindwa. acha ukuda, mavi yako we
ReplyDeletehuna lolote wala huna hoja
ReplyDeletenyie mnaopinga humu mnauhusuda wa mtu fulani, mtabaki hivyo hivyo na ulimbukeni wenu mkifikiri urais wa Tanzania ni mali ya mtu!! maboya tu!!
ReplyDeletekama tunakosa cha kuandika ni bora kukaa kimya sijaona lolote liloandikwa ki msingI acheni kuua watu kisiasa tunaelekea wapi Watanzania??? huna cha kuandika kaa kimya huu ni upuuuzi
ReplyDeleteeeeeh Mungu ibariki Tanzania, naomba utuuepushe na VIONGOZI MAFISADI.
ReplyDeleteAMIIIN.
Delete