SIRI ZAANZA KUVUJA, WOLPER AKIRI MANAIKI SANGA ALIMPA HELA ILI APIGE NAE PICHA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 
Na Sakina Shabani

Msanii nyota kwenye tasnia ya filamu za kibongo Jacqkline Wolper na Manaiki Sanga, anayejulikana kama The Don, wako katika bifu kubwa kisa kikiwa ni picha walizopiga pamoja.


Tukio hilo limechukua sura mpya kwenye mitandao ya kijamii baada ya wiki mbili zilizopita gazeti hili kuanika picha za mastaa kadhaa waliowahi kupiga picha zilizozua minong’ono mitaani, kutokana na tabia ya Manaiki kuaminika kuwa ni wanawake aliotembea nao.

Maskani Bongo liliandika juu ya Wema Sepetu kunasa kwenye mtandao wa ngono, huku likionesha picha yake kubwa akiwa na Manaiki Sanga wakiwa wamekumbatiana huku picha ndogo ndogo za wasanii wengine maarufu akiwemo Jackline Wolper nao zikiwaonyesha wakiwa na mcheza filamu huyo.

Baada ya habari hiyo kutoka, baadhi ya watumiaji wa mitandao hiyo walichukua kurasa za gazeti hilo na kuiweka mtandaoni na watu walipoanza kutoa maoni yao, Jack alimzungumzia Manaiki na kukanusha kuwahi kushiriki naye mapenzi.

Mjadala mkali ulizuka huku mashabiki wa wasanii hao wakisemana vikali ambapo Wolper aliomba kuelezea jinsi ilivyokuwa hadi akakutana na Manaiki, akasema “Duh yaani mimi nimekuwa mpenzi wa Manaiki tena? Huyu mshikaji alishaahidi kuwa kwa gharama yoyote atakuwa staa, hivyo akatoa mkwanja wake watu tukaula basi,” alisema Wolper.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwani huyu manaiki ndio uchafu gani??!! msenge tu anatafuta promo!!

    ReplyDelete
  2. km ni promo hao kina jack wanapiga nae pic za nin.... Matahira wote hapo

    ReplyDelete
  3. Kuwa staa ndio uwambiwe nini wakati watembelea daladala,kama wataka kuwa staa wende ukafirwe wachukuwe watu wa magazeti wakutangaze.

    ReplyDelete
  4. huyo manaiki nae kwa mtonyo gan kwanza akanye akalale

    ReplyDelete

Top Post Ad