TUKIO KATIKA PICHA AJALI MBAYA YATOKEA MIKESE MOROGORO LEO ASUBUHI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Ankle habari. Leo asubuhi eneo la Mikese, Morogoro, tumekutana na na ajali  mbaya sana ya magari mawili, moja la mafuta, kugongana uso kwa uso na kutumbukia mtaroni na yote kushika moto. Inasadikiwa mtu mmoja ambaye ni dereva wa magari hayo kateketea kabisa kwa moto. Picha na Mdau Sixmund

 Hakuna cha kufanyika kutokana na moto mkubwa na moshi mwingi wakati magari hayo yakiteketea
 Mlipuko mkubwa wakati matenki ya mafuta yakilipuka
Askari wa kikosi cha zimamoto wakijaribu kuuzima moto huo

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. duh?? kama kawaida rip kwa walokufa bt mafuta cpat hata dum moja? Sht.

    ReplyDelete
  2. mbona zimekuwa nyingi ajali za magari yamafuta..au ndo karma.

    ReplyDelete
  3. Alieungua ni ndugu yangu RIP Bro.

    ReplyDelete
  4. Mafuta watu wamekunywa vigwaza hapo halafu wamechoma gari daaah

    ReplyDelete

Top Post Ad