Baada ya week iliyopita habari iliyokuwa katika headlines ya Rap Mrap ambaye alikuwa chini ya uongozi wa Record Label ya B-Hits kutangaza kuwa amejitoa/Kufukuzwa B-hits nimejiuliza kuna shida gani kwani siku si nyingi pia Wasaniii kadhaa walifukuzwa katika Record label hiyo Akiwemo Mabeste na Vanessa Mdee kwa mambo kama hayo hayo ya Mrap na Mambo yakaenda Redioni na Mitandaoni ....Pia nikivuta kumbukumbu nakumbuka Wasanii kama AY na Mwana FA walikuwa katika Studio hiyo lakini Mwisho nao walijitoa....Je kunani B-Hits , Je Tatizo like kwa Wasanii Wenyewe ama Studio? Anayejua Atujuze..... -John K
Bila kumsahau Noorah na yeye alitimuliwa...
ReplyDeleteSaivi amebaki dedy peke yake!