AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Uwezi amini unaambiwa ule uhusiano wa kimapenzi kati ya Drake na Chriss Brown uliokuwa Gumzo week iliyopita baada ya kutangaza kuwa wameamua kuwa wapenzi kabisa ..eti sasa wameachana tena na inasemekana kuwa kisa ni Chriss Brown , inasemekana kuwa Drake Amemfuma Rihanna Mara Kadhaa Akiwa anawasiliana na Chriss Brown wakichat Massage za Kimapenzi ...Mhhh Wacha Movie iendeleee......
-Regina Iwole
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
Nikama wema na domo
ReplyDeleteBrown hajatulia
ReplyDeleteUmalaya unawasumbua
ReplyDeleterihanna anapend ukuni wa christ ndo tatizo.ila christ ni handsome zaidi yac drake.
ReplyDeleteumalaya nayo
ReplyDeleteWanataka wazidi kuwa topic ya dunia..
ReplyDeletedrak na cris wapenz? hebu andika kwa makini we mbea
ReplyDeleteAdmin rekebisha story acha kukopi pest bila ku edit makosa.DRAKE NA CHRIS AU DRAKR NA RIHANA
ReplyDeleteUkiona mwanaume ana mng'ang'ania mwanamke sana ujue kuna kitu kakiona kwake hataki mwingine aone
ReplyDeleteHahahahahahahaha rudi school dogo.
ReplyDeleteWale wanapendana sana hawawezi kuachana
ReplyDelete