AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
V money anapenda kukufahamisha kwamba hatoonekana kwenye show hiyo, yani hajaichukua hiyo kazi kutokana na ratiba yake (V) kumbana kutokana na mipango yake ya sasa pia ya kusafiri kuendeleza muziki wake.
Imekua ngumu kwa sasa sababu ameamua kufocus zaidi kwenye muziki hivyo atashindwa pia kuhimili kuifanya hiyo kazi ambayo pia inaratiba kubwa ya shooting.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
hongera and kip it up
ReplyDeletewatangazi waliosomea wako kibao..kwani mpaka yeye....bongo kwa sifa
ReplyDeleteMshka mawili moja humponyoka,,,kaza buti imba,,na punguza Mdomo
ReplyDelete