JAMANI MIMI NAHISI KUJARIBIWA NA HUYU DEMU..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni mdada tunaheshimiana sana na pengine amekuwa kama adopted sister kwa upande wangu, anajua A - Z kuhusu majanga yangu na wadada wa mjini na pengine anatumia muda wa kutosha kunishauri.
Sasa hali ni tofauti siku tatu zilizopita consecutively siku ya kwanza kaniomba nimpeleke akaogelee swimming pool bila shida nikampeleka anachojoa vinguo vyake mbele yangu huku akinitaka tuogelee wote huku viungo vyake vyote tete vinamvuta kila aliye lijali!!!!!!! 
tulichelewa kufika kanitaka twende kwake kwanza kufika kaniganda nilale kwake eti anaogopa nikadhani labda ntalala peke yangu stori stori na mimi mpaka mzee nikahisi usingizi kanipeleka chumbani kulala kanipigisha tena stori hadi nikapitiwa na usingizi bila kujua nimeshituka tumekumbatiana ahsubuhi ila nilijikuta na nguo zangu na yeye yuko na nguo zake alizokuwa amevaa kadai naye alipitiwa na usingizi!!!!
Kesho yake kila mtu kashika 50 zake jioni kanitafuta tukapita club tukapiga moja baridi moja moto tukaenda kulala kwake maana anaogopa mpaka apate msichana wa kazi, sijajua kwa kuwa nilikunywa sijui alinishawishije tukalala chumbani kwake nimeamka nikajikuta niko na bukuta yeye na shimizi ila nadhani hatuku du!!!!!!!!!
Kesho yake jioni aliponitafuta nilimwambia najisikia vibaya na nalala kwangu mzee si akaibuka home nikajidai naumwa oh!!!! full huduma mara juisi, mara matunda, mara msosi huku kavaa nusu ut.upu mwisho wa siku kadai hawezi lala mbali na mgonjwa tukalala sote! Sasa leo kadai hawezi kulala wala kushinda bila mimi namheshimu sana jamani sijajua namuepukaje hapa?
Kama wewe ulikutwa na mambo haya please wewe ulitatuaje? ndugu zangu nisaidieni jamani!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kula kiboga acha ufala, kama ningekua mie saizi nishabandua

    ReplyDelete
  2. Usifanye papara...tena usilale naye kamwe...subir uone mwisho wa hizo huduma kama miezi sita hivi....Tena wikend nyingine hama kitaa...Usije kuangukia pua....ogopa ukimwi....ngono zembe mbaya...

    ReplyDelete
  3. Fake story. Eti dada unayemheshimu..si kweli katika hali ya kawaida mtu akufanyie vitimbi vyote hivyo usimweleze kwa ustarabu Na hekima HAPANA...JIHESHIMU...acha uongo!ww

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nakuunga na mguu sio mkono tu..... kama wanaheshimiana asingeileta story hii humu pia. Muongo mkubwa.

      Delete
  4. Tuma namba ya huyo dada tukusaidie msenge wewe usiye jua utamu wa kuma unapewa kuma kijanja ila unazuga tupe wanyamwezi namba acha story tuu humu

    ReplyDelete
  5. Wewe cyo rijali unalala na kuma halaf unajisahau' we utakua unafirwa tu

    ReplyDelete
  6. Mushirikishe mungu kwani hilo ni jaribu

    ReplyDelete
  7. Hadanganywi mtu,stori yako ya kutunga!

    ReplyDelete
  8. inawezekana shoga hivyo anamuona kama mwanamke mwenzie

    ReplyDelete
  9. acheni kutawaliwa na ngono, nyote hizo ni tamaa zinazowasumbua.

    ReplyDelete
  10. Alafu kumbuka kuna Ngoma shauri yako

    ReplyDelete
  11. tukusaidie nini mbulula mkubwa

    ReplyDelete
  12. Habari zenu wadau, kama una akiri ya kutafakari hii story ya jamaa ni uongo kwa kizazi cha sasa kilicholaaniwa siyo rahisi kumwacha huyo demu bila kumbuluza ,hajui hata kutunga story ikafanana na ukweli ,akuudumie kwani ww ni dume la mbwa na ukizoea kuhudumiwa na mwanamke mm naona kwa afrika mashariki nchi ambayo ikisaini inshu ya mashoga unaweza kuhamia ili upate mtelemko punguani wewe.utagongwa siyo muda mrefu

    ReplyDelete
  13. hyo story tu umetunga tu hainogi hta kidogo.wacha uongo bro

    ReplyDelete

Top Post Ad