AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kama siku yoyote atapata ujauzito kwa bahati mbaya, hatafanya kosa tena, atazaa tu. Katika mahojiano maalum na gazeti hili juzikati, Lulu alisema kwa sasa yuko tayari kuolewa ili awe na familia yake ila si kwa sharti la mwanaume husika kumwambia amzalie kisha ndiyo amuoe.
Ijumaa: Kwani kwa sasa si una mpenzi? Lulu: Ndiyo ila bado sijapanga swala la kufunga naye ndoa. Ijumaa: Kwa hiyo umesema ukipata mimba kwa bahati mbaya hutofanya misteki lazima uzae, unaweza kuniambia ni misteki gani? Lulu:
Nadhani maswali yako uliyoniuliza nimekujibu kiufasaha kabisa hilo siwezi kulijibu. Ijumaa linahisi kosa ambalo Lulu hatalirudia tena ni la kutoa mimba, kitu ambacho hataki kukizungumzia.
GPL
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Unalaana malaya wewe ulitoa mimba ya kanumba wakati umemuua
ReplyDeleteHeeeeee
ReplyDeleteOngeza bidii utapata tu
ReplyDeleteKashatoa mimba tatu na hana tena kizazi malaya huyo.
ReplyDeleteduh lulu ametoa mimba, ujue mimi nimejiuliza huyu ameanza mambo ya kikubwa siku nyingi hivi mimba atakuwa ameziweka wapi? kumbe amezitoa wewe lulu una laana ya milele
ReplyDeletehuyo kashato mimba kama4 malaya 2
ReplyDeleteKatoa mimba nyingi sana na hapat tena kina laana kweli
ReplyDeleteMaweeee!!! haka katoto jamanii. mweeee!!!
ReplyDeletehuyu malaya alaaniwe ameanza kutombwaa ana miaka 7..sasa jiulize mimba ngapi kashatoa??????asilete mdomo wake.akafie huko mbele
ReplyDeleteDu! We mbwiga tu ila mimba uliyotoa ni pigo u will never 4get it in ur life
ReplyDeleteiga