AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Askari mmoja kati ya hao alikutwa amelewa pombe chakari kwenye hoteli moja huko Amsterdam ambapo Obama alienda kwa ajili ya mkutano wa mambo ya Nuclear.
Msemaji wa idara ya upelelezi Marekani alikataa kutoa taarifa zaidi kuhusu tukio hilo ingawa alisisitiza kuwa watatu hao wameachishwa kazi kwa muda huku uchunguzi ukiendelea.
Mwaka 2013 majasusi wawili waliondolewa katika kikosi cha ulinzi cha Rais Obama kufuatia tuhuma za kuhusika na kashfa ya ngono na utovu wa nidhamu.
Mwaka 2012 majasusi kadhaa waliachishwa kazi kufuatia madai kuwa walikodi makahaba walipokuwa mjini Cartagena Colombia.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
ndo zao..wanapenda nyuchi..ila huyo jamaa walimdrugisha ...
ReplyDeleteKwa tabia hizo hata mm sipendezwi nazo, timua wote nyangumi
ReplyDeletewanapata muda gani wa kunywa chakari wakati ni walinzi, i woder
ReplyDeleteDuniani kuna mambo...haya angalia na huku.....
ReplyDeletehttp://themonthlyjob.com/?refcode=9210
Wizi mtupu kudadadeki zako.
DeleteAkilewa ndio anakuwa sawa
ReplyDelete