AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Bi. Jeanne na Athuman Juma walianza kupanda mlima kupitia Kampuni ya Nordic Tours tarehe 18.3.2014 kwa kutumia njia ya Rongai - Kibo –Marangu safari ambayo ingewachukua siku tano.
Hadi sasa taarifa za awali zinaonyesha kuwa Bi. Jeanne alitakiwa kwenda kileleni Kibo lakini katika mazingira yasiyofahamika alibadili uamuzi na kuelekea kilele cha Mawenzi ambacho huwa hakitumiwi na watalii isipokuwa kwa kujaza fomu maalum inayoonyesha kuwa mgeni amekubali kwa hiyari yake kupanda kilele hicho.
Shirika la Hifadhi za Taifa kwa kushirikiana na Kampuni ya Nordic Tours wanaendelea na jitihada za uokoaji kwa kutumia askari ambao wanaelekea eneo la tukio pamoja na helikopta itakayosaidia zoezi la uokoaji kwa kutegemea na hali ya hewa itakavyotulia ambapo hivi sasa kuna mawingu mazito katika eneo la mlima.
Umma utaendelea kufahamishwa maendeleo ya jitihada za uokoaji kadri zitakavyopatikana.
Imetolewa na Idara ya Mawasiliano
Hifadhi za Taifa Tanzania
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
du!!!
ReplyDeleteKweli majanga.
ReplyDeleteFaida ya ukaidi..........acha wagande kumbe taratibu zipo kujaza form hakuzifuata...
ReplyDeleteWe msenge hacha roho mbaya, faida ya ukaidi unamaanisha nn ss, we itakua muuwaji sio bure, unafirwa sana choko weeee
ReplyDeleteMwenyewe mkundu
ReplyDeleteWe kuma kweli kuma mako wenzako wako hatarin unafurah kwel we mkundu
ReplyDeleteSASA MATUSI YA NINI? ASIYE SIKIA LAMKUU HUVUNJIKA GUU,KIHEREHERE KIMEWAPONZA
ReplyDeleteWote mnaofurahi kukwama kwa hawa watu ingekua ndo mama yako mzazi, ungejisikia vp hadi dakika hii, angalien kuna vitu vya kushabikia na vitu vya kuomboleza, wapumbavu wakubwa nyie
ReplyDeleteNyie acheni matusi, mnatufundisha tabia mbaya,mungu awasaidie tu,wapate kuokolewa.
ReplyDeleteNyie acheni matusi, mnatufundisha tabia mbaya,mungu awasaidie tu,wapate kuokolewa.
ReplyDeleteNyie mafala yaani hamuwezi cuccoment bila kutukana. Mikundu ya bibi zenu.nyambaff
ReplyDeletenyinyi wote mnapaswa kufahamu kuwa matusi si uungwana. ushuzi nyieee.
ReplyDeletenyinyi wote mnapaswa kufahamu kuwa matusi si uungwana. ushuzi nyieee.
ReplyDelete