RIHANA NA DRAKE SI SIRI TENA ..MABUSU NJE NJE...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na tetesi za wanamuziki Drake na Rihanna kwamba wamerudisha mahusiano yao ya kimapenzi.
Ingawa wawili hao waliopachikwa jina la ‘AubRih’ (Kwa maana ya Aubrey na Rihanna) mpaka sasa wamekuwa wakisisitiza na marafiki lakini vitendo vya hivi karibuni vinaonyesha kuna kitu zaidi ya urafiki kati yao. Rihanna na amekuwa akionekana na Drake wakiongozana kwenye ziara ya kimuziki ya Drake barani ulaya.
Mara ya kwanza walionekana pamoja nchini Ufaransa, kisha Ujerumani na jana usiku walionekana pamoja jijini Manchester – England.
Na hizi ni picha za ushahidi wa wawili hao walivyokuwa wakijiachia kwenye mitaa ya jiji la Manchester usiku jana.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. usikute wanavuta madrugs...maana hyuo rihanna anazeeka tu kama anabwia muinga au misigara...

    ReplyDelete
  2. all the best..afta all u luk gud together

    ReplyDelete
  3. all the best..afta all u luk gud together

    ReplyDelete
  4. wanatafuta kiki hawa HAKUNA LOLOTE HAPO watasubiri sana album ndio hiyo watu hawanunui tena

    ReplyDelete

Top Post Ad