AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
STAA wa Mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amemfungukia msanii mwenzake, Baby Joseph Madaha kwamba hajielewi.
Shilole ametoa kauli hiyo siku chache baada ya kuchanwa gazetini na Baby Madaha kwa kuambiwa kuwa yeye ni mcheza vigodoro.
“Sitaki kabisa kumsikia huyo Baby Madaha, hanisaidii chochote kile katika maisha na kazi zangu pia sioni sababu ya kupigizana naye kelele, mtu mwenyewe hajielewi,” alisema Shilole.
GPL
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Subiri nikuforwe
ReplyDeleteumenena shilole baby taahira kila mtu anataka agombane nae yy fani yake uchangudoa ndiyo maana alikamatwa na ofm.
ReplyDelete