AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Leo mida ya Jioni pale mlimani City nimeshuhudia wafanya kazi wa Duka Kubwa la Shoprite wakiwa wamegoma wakizua watu wasiingie kwenye duka hilo kwa kile kilichodaiwa kuwa duka hilo limeuzwa bila wao kupewa mafao yao ...Habari zilizopo ni kuwa duka hilo limenunuliwa na Super Market Ingine kubwa Nchini Kenya Ambayo inakuja kupanua biashara zake hapa Dar .....
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
Ss hiyo inaweza ikawa dawa ya kulipwa
ReplyDeleteAu imeuzwa kwa West Gate?
ReplyDeletenakumatt
Deletewakenya,watatuletea mabomu..,
ReplyDeletena inawezekana pia,ugaidi ukahamia uku tz.
DeleteHacheni kutuongopea kwmba imeuzwa kwa wakenya, wakati mshua ndo kanunua kwasababu muda wake ndo unaishia madarakani so anazidi kuwekeza ili aendelee kuienjoy vizur, kodi zetu za wananchi wa tz ndo zimenunua hiyo shoprite, nchii hii tunaumizwa sana ss wanyonge
ReplyDeletesi kweli,imechukuliwa na nakummat supermarket ya kenya..
Deleteacha uzushi dogo, hauoni aibu kuongea mambo ambayo si yakweli, kwa kuwa huyu mkubwa mpole au vipi? kila baya mnamzushia ee mmezidi wa tz kwa kuoongopa vitu visivyo vya kweli nyie mnahitaji mpate mtu katili na dicteta kama lowasa ndio mtaona
DeleteAo wafanya kazi wanawazimu tu.sasa mtafanyaje kazi bila mikataba coz kama mliekeana mikataba haina haja ya kuzuia watu wasiingie ndani
ReplyDeletewakenya magaidi watatuua
ReplyDeletewakenya magaidi watatuua
ReplyDeletewakenya magaidi watatuua
ReplyDeletewamelamba dar, nakumatt wamekamata kilimanjaro siku nyingi, na pia wanampango wa kuchukua Arusha shoprite soon. sio wabongo wananunua viwanja bunju,na mlandizi wakija mikoani wanasema tunaishi dar. huku watu wananunua mji na kuweka fensi, chezea pesa weye weye. na waajiriwa wengi watakuwa kenyanizzzzz, wabongo wenye nyodo badala ya ku-bung'aa mlimani site tafuteni pa kupumzikia.
ReplyDeleteWe mpuuzi unashabikia ungekua wew fyuuuu!
ReplyDeletekenyans kuma!!!!
DeleteSasa km imeuzwa c wawalipe haki zao jamani
ReplyDelete