AL-SHAABAB WATOA TISHIO JINGINE LA KUILIPUA KENYA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tishio la kigaidi lina kodolea macho taifa la Kenya baada ya kundi la kigaidi lililo na makao yake makuu nchini Somalia kuachia video nyingine kwenye mtandao wa Al-Kataib wakitishia kutekeleza mashambulizi nchini Kenya wakati wowote.
kwenye kanda hiyo msemaji wa alshabaab aliye jifunika uso anasema kwamba hawaoni lolote litakalo wa zuia kuingia Kenya hasa baada ya kufanikiwa kutekeleza mauaji katika jengo la west Gate. mwaka uliopita>>’tumekuwa tukisema tutafika Kenya lakini hivi tayari tushafika si eti westgate ndio tosha bado kuna mamia na mamia ya watu wanaongojewa mahala kama hiyo insha Allah’alisema msemaji huyo.
Huku wakiimbia tutawalipua hadi tuwamalize wanamgambo hao wamesema kwamba wameamua kuungana na wasomali kutetea dini ya Allah,Wadadisi wa maswala ya kiusalama wanahoji kwamba huenda hawa ni baadhi ya vijana kutoka kwa mataifa ya Afrika mashariki walipewa mafunzo ya itikadi kali na baadaye kupelekwa somalia kujiunga na Alshabaab kutokana na wanavyozungumza lugha ya Kiswahili kwa ufasaha kwenye video hiyo.
Ispekta mkuu wa polisi nchini Kenya bwana David kimaiyo amesema uchunguzi umeanzishwa kubaini chanzo cha video hiyo na taarifa kamili kutolewa punde tu watakapo pata habari zaidi kuhusiana na video hiyo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Eti "...kwamba wameamua kuungana na wasomali kutetea dini ya Allah".
    Hivi huyo Allah hana uwezo wa kujitetea mwenyewe hadi atetewe kwa kuua watu?
    Ama kweli hapa mnatuaminisha kwamba Allah huyu huenda ni shetani asiyependa uhai bali anakunywa damu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mungu akushinde,akuangamize mikono yako na vidole vyako.ibilisi mkubwa.huna maana kabisa.

      Delete
    2. Mungu mwenyewe anajua cha kukufanya kwa maneno yako machafu..

      Delete
  2. Shetani ni babaako n mamaako sio Allah mbulula we tena omba msamaha lasivyo atakuadhibu kwa kumuita sheitan

    ReplyDelete
  3. mungu atakuadhibu mdomo wako/ na vidole vyako ulivo andikia.inshallah. mungu ndie ajuwa zaidi.utataka kuandia kitu chochote na usipate mkono wakuandika inshallah.mwenye ezimngu ni mwingi wa kurehemu

    ReplyDelete
  4. ama kwel katika wajinja na ww ni mmoja wapo tena haujitambui

    ReplyDelete
  5. Mdau wewe jiangalie usije ukapata adhabu kutoka kwa Allah kwakumfananisha na sheitwani...Allah hafananishwi na chochote hapa duniani hadi akhera ndugu yangu

    ReplyDelete
  6. Mungu atusaidie magaidi wafie mbali!

    ReplyDelete
  7. Tobah!!!Dini inachochea vurugu na mauaji.

    ReplyDelete
  8. We msenge 9:35 acha usenge ni dhambi kubwa tena kaa kimya shetani mwenyewe,hanithi we we.unaongea kama unaongelea matakoni,mwanaharam wewe uliezaliwa chooni .

    ReplyDelete
  9. Tenaa tukana alshabab Allah kakufanya nini una akili za kutembelea na kuvalia suruali,pumbavu zako.

    ReplyDelete
  10. Ww ulicomment hapo juu mwana laana ulaaniwe pamoja na kizazi chako chote laanakum ww shaitwain mguu mmoja hivi unaweza kumuita mungu shaitwani ww ni firaun

    ReplyDelete
  11. Sisi wakenya hatuwaogopi hawa mashoga, mtatulipua lakini bado tutawaangamiza wote huko Somali

    ReplyDelete
  12. unajua raha yake akifa likafiri limoja la duniani linaenda jahanam na akifa muislam heaven moja kwa moja huoni promotion hiyo wewe

    ReplyDelete

Top Post Ad