BIDHAA IMETENGENEZWA KABLA YA MUDA WAKE-TBS MPO?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hii Ndio Tanzania Yetu hakuna umakini wa kila jambo, kwasababu tbs ndo wenye jukumu la kuweka hizo tarehe je nao wamekosea tarehe ya utengenezaji jiulize ni bidhaa ngapi sasa wamekosea tarehe ya mwisho ya kutumika bidhaa husika. nikiwambia hawa watu wauwaji mnabishia.TBSCCM MTATUMALIZA
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. acha siasa za kampeni wewe, hv vitu vnausiana nini na vyama? umeshindwa kutupa hoja za msingi unaposti ujinga. waulize hao ukawa kilichowatoa bungeni ni kpi? na watupatie sababu tano cc wananchi za kuondoka bungeni na kukatishamjadala
    sio kuandika vtu vya kuchochea uvunjaji wa amani ktk nch yetu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. nashangaa ccm na tbs wapi na wapi kwani wizara fulani ikikosea utasema ccm acha ujinga

      Delete
  2. Tanzania Tanzania Tanzania

    ReplyDelete
  3. KAKOSA LA KUSEMA

    ReplyDelete
  4. Cjaelewa, sasa tbs inahusiana vp na ccm? Umeanza vzuri umemaliza na pumba!

    ReplyDelete
  5. so tusifahamishwe makosa yanayofanywa na mamlaka husika badala yake tujazwe tu ujinga wa serikali 3 na ukawa????? hii sio sensitive issue wakati walaji wa hizo bidhaa ni sisi wenyewe? siasa zitatupeleka pabaya we cannot even think of our own health issues tunakalia tu ukawa.....shame

    ReplyDelete
  6. Acheni usenge hii issue ni serious nyie mnaleta siasa zenu uchwara,ongeeni vitu vya maana mtakuwa lini hizo akilini zenu.

    ReplyDelete
  7. We kuma hpo juu wap UKAWA ilipotajwa??

    ReplyDelete
  8. Hiyo ndio serikali ya ccm haina habari na vitumuhimu kama hivi haswa upande tbs.

    ReplyDelete
  9. tunawasubiri 2015

    ReplyDelete
  10. Mimi ni mmoja wa wafanyakazi wa tbs.. kwenye ilo suala wa kulaumiwa ni mtengenezaji maana tbs haihusiki na uwekaji wa iyo tarehe na inawezekana iyo bidhaa iko chini ya kiwango nikimaanisha mtengenezaji anaweza akawa ama hajathibitishwa au ni mtu kaamua kutumia jina la mwenzie kutengeneza bidhaa isiyokidhi...

    ReplyDelete
  11. Then jamaa ameweka na namba za simu, ngoja nimcheki kwenye M pesa!!

    ReplyDelete

Top Post Ad