AZINYOFOA SEHEMU ZA SIRI ZA MUMEWE KWA WIVU NA UGOMVI WA KIMAPENZI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jeshi la polisi mkoa wa Pwani linamshikilia Husna Iddi Kisoma (19) , mkazi wa Kisemvule Mkuranga mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kumuua mumewe Jumane Mwalami (21) baada ya kumvuta sehemu za siri na kuzinyofoa kutokana na ugomvi uliosababishwa na wivu wa mapenzi.

 Akizungumza na kipindi cha Maskani cha 100.5 Times Fm, kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Ulrich Matei ameeleza kuwa tukio hilo lilitokea juzi usiku na kwamba kulikuwa na ugomvi kati ya wawili hao huku kijana huyo akimtuhumu mwanamke huyo kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanaume wengine.

 Ameeleza kuwa wakati ugomvi unaendelea, mwanamke huyo alizishika sehemu za siri za mumewe na kuzivuta hadi kuzinyofoa.

Mwanaume huyo alipata maumivu makali na alikimbizwa hospitali ya Mkulanga ambapo alifariki.

Jeshi la polisi limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa huyo na tayari ameshafikishwa mahakamani akikabiliwa na kesi ya mauaji.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndoa yenyewe ya watoto ndo matokeo yake hayo, mamae zao

    ReplyDelete
  2. Pumbafu zake huyu mwanamke na yeye alitakiwa aingiziwe mti kwa dudu yake

    ReplyDelete
  3. Makubwa hayo mmmmmh ndoa hizo.........,wivu noma

    ReplyDelete
  4. Hao polisi wangemvuta kisimi chake huyo mdada na koreo mpaka wakikate manina huyo

    ReplyDelete
  5. Amekomeshwa manaume yamezidi wivu yenyewe tu ndio yanataka kifanya wenzenu nao tuna nyege.

    ReplyDelete

Top Post Ad