WEMA SEPETU ALA SHAVU LA MTANDAO WA SIMU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wema Sepetu Amepata shavu la Kutangaza promotion mpya ya Mtandao wa Airtell Ambayo unapata Facebook, Twitter na Whatsapp Bure, Wema Sepetu anawajoin JB na Joti Ambao nao pia kwa sasa wanatangaza Promo za Makampuni ya Simu....Hongera Wema ...
Team Wema Mpo ??
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. tupo hongera wema

    ReplyDelete
  2. thats my wema..i love you mingi mingi

    ReplyDelete
  3. Kula pesa mama, wenye wivu watacoment ujinga, keep it baby wema.

    ReplyDelete
  4. Wema wakuwacheeeeee,penda unapopenda Bibi wee

    ReplyDelete
  5. c anajitongozesha huyo hata hanipi shida mxenge huyo waxenge na team yenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Analipa ndo maana kawekwa hapo. Na bado anazidi kusonga mbele. Sasa wewe mwenye sura kama kikaango cha chipsi tandale utaendelea kujitongozesha tu na hupati soko ng'oo

      Delete
    2. Hahahahhahahahahaha kama hauna cha kuongea hater wewe,kachambe ulale.. Wema a.ka mama Chibu atabaki kuwa Wema forever

      Delete
  6. Love u wema,fanya yako mama

    ReplyDelete
  7. Wivu huo, unatafuta maneno ya kukufariji kimekuuma.kwi kwi kwi pole mwe ndo kashaula hivyo.Kahonge na ww upate kama kahonga.Mxiuuuuuu mshamba kweli wewe Anonymous wa 4:50.

    ReplyDelete
  8. Mrs dangote penda wewe balaa

    ReplyDelete
  9. kizuri wema chajiuza kibaya chajitembeza na watajitembeza sana lakini hawatafikia nyota yako,wakaogeeeeeeee

    ReplyDelete
  10. Congratulation Wema!

    ReplyDelete
  11. Msaada tutani,kwani kupata kibali cha kuingia china Ni rahisi?mbona siku hizi wadada Wa mjini Ni china china china kilaaaa kukicha,visa Ni rahisi kupata?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mapunda hao wanadili na wenye mali ndo masna kila cku china tuu

      Delete
  12. wanaonga pale embassy ya china.

    ReplyDelete
  13. Go go my lv!!!

    ReplyDelete
  14. go wema go wema

    ReplyDelete
  15. Wema mama keep it up ndo ndo mda wako huu. Waliponda sana sasa umepata wanatafuta la kuzungumza. Go gal go gal....

    ReplyDelete
  16. My wemaaa onyinyeeee mamaa chibuuu. ..nakupenda bure songa mbele hii ndo team wema mambwaaa gusen mnateee sie na nyota zetuuu jaman wemaa lalaa mamaa tyr 2 makonde mtwala kawavurugeee kuonekana kwk btu stageni ni pesaa acha makumaaaaaa wataabikee

    ReplyDelete
  17. Jamani wema nakupenda sana ebu msameehe kajala take one ya leo kalia mpaka uzuni kweli anakupenda kei tena kakili hawezi kutembea na ckement na haitatokea kei kama unatabia ya kubeba waume wa rafiki yako uwache si tabia nzuri? Najua wema mtt mzuri tabia nzuri atakusamehe wema hana iyana.

    ReplyDelete
  18. Jamani wema nakupenda sana ebu msameehe kajala take one ya leo kalia mpaka uzuni kweli anakupenda kei tena kakili hawezi kutembea na ckement na haitatokea kei kama unatabia ya kubeba waume wa rafiki yako uwache si tabia nzuri? Najua wema mtt mzuri tabia nzuri atakusamehe wema hana iyana.

    ReplyDelete
  19. Jamani wema nakupenda sana ebu msameehe kajala take one ya leo kalia mpaka uzuni kweli anakupenda kei tena kakili hawezi kutembea na ckement na haitatokea kei kama unatabia ya kubeba waume wa rafiki yako uwache si tabia nzuri? Najua wema mtt mzuri tabia nzuri atakusamehe wema hana iyana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kashamsamehe ndo maana kakaa kimya..ila kurudia urafiki nae itakuwa ngumu.....kajala ni jalala.wema ni daraja lengine ,,atulie afanye mambo yake kwani lazima kurudiana pamoja?mi nakuhakikishia kashamsahau hayupo tena ktk maisha yake.

      Delete
  20. mnachekesha sana na timu isiyo na lefa nyie hahaaaa kazi kweli mnayo mnajiuiza wenyewe mnajijibu wenyewe na kutukana juu duuuuuuuu

    ReplyDelete
  21. Safi kama umepata shavu ila tulia sasa sio kila sehem sehem lazima mtoke na sifa mbaya.ongera

    ReplyDelete
  22. wema!wema! jina lako,uzuri wko ah upo juu mama anaekuchukia hana ujanja.fanya yakoooooooo.lv u sanaaaaaa.

    ReplyDelete

Top Post Ad