HUYU NDO MBOWE KAJA NA PLAN B NA DAIMA HATABIRIKI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika kikao kimoja tulichofanyia Mwanza mwaka jana mwishoni Mbowe aliwakuna wajumbe alipotupa siri kwamba alikataa kuwa mwenye kiti wa Chadema mpaka kamati kuu walipokubali mashariti yake. Baadhi ya mashariti ilikuwa kumuomba na kamati kuu ikubali Dr Slaa awe Katibu mkuu badala ya makamu mwenyekiti, kuruhusu kufungua milango ili aingize watu toka vyama vingine na kubadilisha rangi za bendera ya chama. Alitwambia jisi alivyopata shida kuwashawishi wazee wa chama kukubali kombati kuwa vazi la chama na kadhalika. Ilikuwa story ya kuvutia sana!

Leo wakati Ccm wakidhani tuna tofauti kubwa sana na vyama vingine hasa Cuf, na walijitahidi sana kupanda chuki kati yetu. Na zaidi walijitahidi kuivuruga Chadema kwa kutumia mamluki, kumbe Kamanda wa anga anafkiria kitu kikubwa zaidi. Ametoka na plan B amabayo inawafanya Ccm warudi kwenye drawing board kupanga upya mbinu tofauti na hii ya mamluki. Kwa vyovyote sasa mbinu ni kuchonganisha huu muungano maana hauwezi kuwaacha salama.

Mchambuzi yoyote wa siasa anajua kwamba tukiingia kwenye uchaguzi kwa muungano huu Ccm watatoka jasho kweli kweli. Muungano huu utasambaratisha kabisa propaganda ya udini na ukabila, utasambaratisha propaganda ya uchu wa madaraka. Lakini italigawa taifa katika kanda ambazo ni rahisi kupiga kampeini kulingana na sehemu vyama vinavyokubalika. Itapunguza mzigo wa gharama maana utashughulikia eneo dogo kwa ufanisi.

Long live Kamanda Mbowe!
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Apeleke makengeza take huko, anakumbuka shuka morning... Atachinaaaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe juliana ,comment yako hii haiendani na elimu yako!

      Delete
  2. MBOWE NI MFA MAJI ANAE TAPATAPA KUJIOKOA KWA BOTI INAYOZAMA

    ReplyDelete
  3. Hahahaha watajibebaaaaaaaa

    ReplyDelete
  4. aluna plan B hy A ikuwap kuvaa kimgambo mgambo ana sera mbowefa maji anatapatapa huyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hiv wewe mwenye jina la mwisho la kike usiyejulikana ni dume au jike mbona unawapenda sana mafisadi?

      Delete
  5. plan b aipeleke club bilicanas sio kwenye siasa

    ReplyDelete
  6. Kamanda Mbowe kaza buti,usirudi nyuma,ccm chupi zimeanza kuwabana!

    ReplyDelete
  7. Kiruuu gwanda lime bana na kuruka kama kitambaa cha Jinjaaa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Limebana kama chupi yako hiyo ya kitenge!

      Delete
  8. Hamna cha gwanda wala nini, mjipange upya la sivyo mtachimba kisima kwa vidole.

    ReplyDelete
  9. tatizo nchi yetu viongozi na wajinga wachache hawapendi upinzani wanauna kama ni adui wanasahau kuwa upinzani ni tofauti za kimtazamo mara nyingi unakuta lengo ni moja kumtoa mwananchi wa chini kwenye lindi la umasikini uliokithiri ukiangalia CCM sera ni hiyo upinzani pia sera yao ni hiyo hiyo tatizo linakuja kwenye baadhi ya viongozi siyo waaminifu kwa nchi yao ndo maana wananchi wengine wanaona wajaribu plan b ambayo ni upinzanu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeonaee!wabongo walio wengi si ma stupid!

      Delete
  10. JEMBE HILO!! MBOWEEE UKO JUUU!!

    ReplyDelete

Top Post Ad