MWANAMUZIKI LINA ADHIHIRISHA MAPAJA NA MIGUU YAKE NI MOTO WA KUOTEA MBALI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Week Kadhaa zilizopita Mwanadada Linah Alikaririwa akisema kwamba anapenda Paja na Miguu yake kwani ni mizuri sana...Kuna walio mbeza na kuponda...Sasa katoa picha mpya zikionesha vizuri miguu yake ....Amazing Legs Eeehh?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera lina najua wasio kua wamejaliwa ulivyonavyo wataponda, ila ndo usikae uchi...

    ReplyDelete
  2. Mungu hakunyimi vyote of coz Ana mapaja na miguu mizur ILA sura ya joti

    ReplyDelete
  3. Hakuna lolote rafiki yangu amini ameyachezea sana hayo mapaja sasa ivi umekimbilia kwa yule muindi kwa sababu kwao matajiri

    ReplyDelete
    Replies
    1. We yako mabovu, wameyachezea wangapi, jifunze kukubali ukweLi Linna yuko vzr

      Delete
  4. anatafuta soko au, siku hizi wenye kuoa wachache wote wakazaji tu, watakuchambua kama karanga halafu wakuache ukiwa maganda hata nzi hatui

    ReplyDelete
  5. Huwez kujisifia mwenyewe tena mtandaon kuwa una mapaja mazuri, ili kiwe nin? Tatizo kaona hasifiwi na watu ndyo maana kaamua kujisifia mwenyewe ila kuna watu wana mapaja na miguu kuliko hyo tena hata mke wangu yuko juu zaidi yake

    ReplyDelete
    Replies
    1. ndio mbaya .....bora rihanna

      Delete
    2. Tutaamin vip unge weka picha kama alivyoweka lina hapo jiu watu wamecoment sasa we ooh yamke wangu mazur waap tuyaone kwanza!

      Delete

Top Post Ad