AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Week Kadhaa zilizopita Mwanadada Linah Alikaririwa akisema kwamba anapenda Paja na Miguu yake kwani ni mizuri sana...Kuna walio mbeza na kuponda...Sasa katoa picha mpya zikionesha vizuri miguu yake ....Amazing Legs Eeehh?
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hongera lina najua wasio kua wamejaliwa ulivyonavyo wataponda, ila ndo usikae uchi...
ReplyDeletejini mahaba.
DeleteMungu hakunyimi vyote of coz Ana mapaja na miguu mizur ILA sura ya joti
ReplyDeleteHakuna lolote rafiki yangu amini ameyachezea sana hayo mapaja sasa ivi umekimbilia kwa yule muindi kwa sababu kwao matajiri
ReplyDeleteWe yako mabovu, wameyachezea wangapi, jifunze kukubali ukweLi Linna yuko vzr
Deleteanatafuta soko au, siku hizi wenye kuoa wachache wote wakazaji tu, watakuchambua kama karanga halafu wakuache ukiwa maganda hata nzi hatui
ReplyDeleteHuwez kujisifia mwenyewe tena mtandaon kuwa una mapaja mazuri, ili kiwe nin? Tatizo kaona hasifiwi na watu ndyo maana kaamua kujisifia mwenyewe ila kuna watu wana mapaja na miguu kuliko hyo tena hata mke wangu yuko juu zaidi yake
ReplyDeletendio mbaya .....bora rihanna
DeleteTutaamin vip unge weka picha kama alivyoweka lina hapo jiu watu wamecoment sasa we ooh yamke wangu mazur waap tuyaone kwanza!
Delete