MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR NAE AUNGANA NA UKAWA ASEMA SEREKALI TATU NDIO MPANGO MZIMA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika hali ya kuonyesha kuwa ma-Interahamwe - ccm yanazidi kudhoofika kutokana na dhuluma yao kwa kufidhuli maoni na ukweli wa umma, Mwanasheria Mkuu wa Z'bar amewaumbua wanafiki wana-ccm wenzake na 201 waliobaki bungeni kuwa Serikali 3 ni ukweli uliopo wazi na ndivyo hata Katiba ya sasa inavyothibitisha, na hivyo ni ngumu sana kuufunika ukweli huo wakati Katiba ya sasa inazitaja wazi kuwa muungano wetu 'UNAUNDWA NA NCHI 2' na ni ngumu mno kuitaja Z'bar bila kuonyesha nchi ya pili ni ipi, kwa hivyo serikali 3 ni jambo lililosemwa hata ktk Katiba tuliyo nayo! Kauli liyowaacha CCM - interahamwe midomo wazi, kimyaaa na kwa aibu kubwa hawakuthubutu kumzomea, bali wameugulia mioyo, na kuguna kichinichini...unafiki na aibu! 
Source ITV News. 

My Take: TANGANYIKA ni TAIFA lisiloweza kuzuilika, Z'bar ni taifa lisiloweza kuzuilika, Serikali 3 ni mfumo usiozuilika na watawala waliojaa woga...! CCM wanaweweseka kila kukicha, wanaweka vikao vingi gizani na kusambaza fedha za udhalimu, za sembe, na dentals la nyara zetu ili kuendelea kutawala kidhalimu...lakini mkono wa Mungu unathibitisha ktk mwanga kuwa Watanganyika na Wazanzibar watawekwa huru...tena UHURU wa kweli na uliolindwa kwa mikono ya Mungu na Umma!

Naomba kuwasilisha!
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Rais wa tatu anakaa wapi znz or bara, mtihani ni bora muungano uvunje why tunganganie utumbo

    ReplyDelete
  2. Du, Mungu tusaidie

    ReplyDelete
  3. Mchungaji Christopher Mtikila aliwahi kunena haya ''Tanganyika ni MAMA yetu,kuushabikia Muungano bila ya uwepo wa Tanganyika ni sawa na mwehu anayeshangila MAMA yake mzazi akibakwa hadharani''

    ReplyDelete
  4. sijaelewa..kumbe bunge la katiba limeshaanza? Ln? nani mwenyekiti?

    ReplyDelete
  5. Wapinzani oyeee! Zanzibar wanakosa maslahi kibao kwa kivul cha muungano

    ReplyDelete
  6. Du huyu ni kidume cha mbegu heri ameusimamia moyo wake watabadilika waache tu na huo ndo mpango wetu cc wananchi tunataka serikali 3 mwambie jakayana kundi lake waache uongo na aibu

    ReplyDelete
  7. serekali mbili 2...alufu usiuseme moyo wa mtuu..eti sisi wananchiii.

    ReplyDelete
  8. Ukisikia integrity ndio hii aloonyesha Mwanasheria Mkuu wetu.

    ReplyDelete
  9. Hivi nyinyi mnaotaka serikali 3 naisi hamnzo. Jk wape Jwtz nchi maana mijitu demokrasia imeshindwa tupate kunyooka

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuma wewe huyo bahasha wako umeona nchi ni ya kwake mpaka awape hao wanajeshi?hiv unaakili sawa sawa we mkundu au ndio kujipendekeza?shauri yako utaliwa kijambio hicho ohoo!

      Delete

Top Post Ad