WEMA AWAJIBU WANAOMPONDA BAADA YA KUSHINDA TUZO YA IJUMAA SEXIEST GIRL

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Tangu akabidhiwe tuzo yake ya Ijumaa sexiest girl, Mrembo Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye' tayari inaonekana ameshakutana na negative comments baada ya kushinda hiyo tuzo.

1
Wema Sepetu ameibuka mshindi katika shindano la Ijumaa Sexiest Girls akiwabwaga Lulu, Nelly, Wolper, Jokate.
Wema ametumia ukurasa wake wa instagram kutoa yaliyo moyoni mwake na ameandika,
“If u got it flaunt it….. Ndo nshashinda…. kama hujapenda kasage chupa kunywa…. maana naona sasa its too much khaaaaaaaa.!
Ebu mnitue mie mtoto wa watu… And again much love to y’all dat support me… nawapenda sana…. nimemaliza…. Award yangu ndo hiiiiiiiiooooooooo…… next year tusubiri mwingine.
Nalala zangu…. tukutane kesho…. najua wengi mnanipenda ni wachache wenye vijiba vyao vya roho…. Wema atabaki kuwa Wema tu… Bhaaaaas.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kweli my wema

    ReplyDelete
  2. ACHA MOVIE IENDELEYEE

    ReplyDelete
  3. Bora maana walikufanya tambala, wivu tu unawasumbua

    ReplyDelete
  4. she deserve it.she is pretty ....xo xo

    ReplyDelete
  5. wakuwache ndo ushashinda sasa!!! wakitaka walie!!!!

    ReplyDelete
  6. wema mrembo...wewe admin weka comments pumbu za baba yako..bora ungepaachia free kama zamani..malaya unapenda kutomba unalala hadi sasa..No comments .No News.Pumbafu!!

    ReplyDelete
  7. tumesha ku vote tena mana watakula machupa

    ReplyDelete
  8. if u got it flaunt it. nikiangalia vote umeshashinda tena sijuwi umewapa nini mashabiki wako

    ReplyDelete
  9. Mxiiiiiou hovyooo

    ReplyDelete
  10. we lve u wema,u derseves t cz ua rly pretty,neva cn b4

    ReplyDelete

Top Post Ad