BAADA YA KIMYA KIREFU HATIMAYE MASOGANGE ATOBOA SIRI KUMHUSU JAMAA ALIYEMPA MADAWA ALIYOKAMATWA NAYO SOUTH

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


‘VIDEO queen’ wa Kibongo, Agness Gerald, ‘Masogange’, amefunguka  kuwa aliyempa mzigo wa unga  na akakamatwa nao nchini Afrika Kusini, alikuwa amevalia kininja, hali iliyomfanya ashindwe kumtambua.

 Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vyetu makini katika kikosi kazi cha kuzuia na kudhibiti madawa ya kulevya nchini (Task Force), zinasema kuwa  mwanadada  huyo alipofika katika nchi hiyo, alipigiwa simu na mtu ambaye hamjui aliyemwambia kuwa atapewa mzigo, hivyo ajiandae kuupokea.

“Alidai kuwa kuna mtu aliyevalia kininja alifika eneo alilokuwepo uwanjani pale ambaye hakumsemesha badala yake alimpatia mzigo wa unga ambao ulikuwa kilo 150 ambao hapa kwetu ni madawa ya kulevya na kuondoka kusikojulika,” kilisema chanzo.
 Kwa upande wake, Kamanda wa Kudhibiti na Kupambana  na Madawa ya Kulevya nchini,  Godfrey Nzowa alipohojiwa na gazeti hili alithibitisha kuwa Masogange aliwaeleza polisi wa Afrika Kusini kuwa aliyempa unga ule ni mtu aliyekuwa amevalia kininja.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. uongo mwingine hauna hata maana, kwaiyo na nyie mmekubali kwamba alipewa mzigo na ninja ?

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahaha uonge hata mtoto wa chekechea huwezi mdanganya shame on her, leo ushukuru umeponea kwenye tundu la sindano but siku nyingine utakufa kifo cha mende punda we

      Delete
    2. Hahahah mdau umenichekesha sana!

      Delete
  2. Hahahahaaaaa du hii kali, huoni hâta aibu msichana kuudanganya uma ama kweli wewe ni punda

    ReplyDelete
  3. huyu matako matako hana mpya, anataka attention, wenye shughuli zao kimya!!!!!!

    ReplyDelete
  4. shule inasaidia. kawadanganye wajinga wajinga wenzako. pambaf!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. Umma wanaokubali ndo wajinga hivi we mtu anafika anakukabidhi mzigo kama bubu nawewe ukapokea na kuanza safari eti hadi south unaenda kusema aliyekupa humjui loh shame on u it is senceles

    ReplyDelete
  6. ACHA KUTAFUTA KITU CHA KUUDANGANYA UMMA

    ReplyDelete
  7. Wabongo kwa uwongo wa kitoto!!kwa hiyo ulipigiwa tu simu from nowhere kachukue mzigo

    ReplyDelete
  8. mameee,bando zangu

    ReplyDelete
  9. Nishidaaaaaaa

    ReplyDelete
  10. lol wewe the owner of this blog naomba uwe mbunifu hiii ni habar ya siku nying kama miez mitatu iliyopta wewe unaiweka leo..shame on u n shame on her tooo mxiewww punda uyo wa kike hana lolote ndo kashakua punda tena

    ReplyDelete
  11. Mpuuzi huyu shule hana kakalia upunda nakuuza tako tu

    ReplyDelete
  12. Huyo Masotako kama kazi na akauze,
    Zenji tako mali!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad