Gari Alilopata Nalo Ajali Director George Tyson na Picha za Saa 4 kabla ya Tukio

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dj Choka ambae kwa sehemu kubwa alikua kwenye safari moja ya Dodoma na Marehemu George Tyson, ameandika kwenye http://djchokamusic.com/ kwamba Marehemu alikuwa yupo kijiji cha Chilonwa Chamwino kwenye utoaji wa madawati katika shule ya msingi Chaula iliyopo Dodoma.
Baada ya kumaliza shughuli hii huku akiwa kama producer wa The Mboni Show mauti yalimkuta majira ya saa 12 jioni ikiwa ni saa 4 tu toka tuanze safari ya kurudi Dar es Salaam maeneo fulani hivi kama unataka kukaribia GAIRO mjini.
Kwenye gari walikuwa watu 8 ila yeye pekee ndio aliyepoteza maisha ila wengine wamepata majeraha mwilini akiwemo dereva wa gari hilo ambapo kwa sasa mwili wa marehemu umehifadhiwa hapa Morogoro katika hospital ya mkoa Morogoro baadae asubuhi safari ya kurudi Dar es Salaam itaanza.


Kwenye hii safari, George Tyson aliambatana na mtangazaji Mboni Masimba wa The Mboni show.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duuuu nimesikitikaaaaa pole Huyu alikuwa mume Wa ndoa Wa monalisa Wa bongo movie,monalisa akamtosa akawekwa kimada na muarabu ,wanawake bwana.r.I.p Tyson

    ReplyDelete
  2. George Tyson alikuwa handsome kweli sijui kwanini Mona alimtosa mumewe,kabinti kao katakuwa kakubwa sasa,15years Kama sikosei.pumzika pahala pema,nimeimiaaas

    ReplyDelete
  3. Monalisa utamuona Wa kwanza kwenye msiba na unafiki wake,

    ReplyDelete
  4. we hapo juu acha ujinga kwani kuachana na mtu ndo asiende msibani?? kifoo lazima kimguse ukumbuke yule ni mazazi mwenzie

    ReplyDelete
  5. Sasa hayo ya Monalisa humu yanatoka wp?? nijitu mingine bana.. RIP George..

    ReplyDelete
  6. Upe mdogo wa kufikiri, hapa tunatakiwa ku sema R.I.P George sio Kumtaja Monalisa hayatuhusu mambo yao, R.I.P Baba Sonia!!

    ReplyDelete
  7. Basi tumtaje Monalisa kwa kumpa pole jamani,hayo mengine ya nini?
    mshindwe na mlaaniwe wote mtakaochangia ujinga.

    ReplyDelete
  8. R.I.P mjaluo mwenzangu, dah nimeumia sana na kifo iki... Tumrudie mungu jaman tuache dhambi

    ReplyDelete
  9. Poleni sana wana familia,Poleni sana crew la Mboni show,Poleni wasanii wote tz na Pole sana Monalisa,Bwana alitoa na ametwaa jina lake Bwana libarikiwe

    ReplyDelete
  10. R.I.P George

    ReplyDelete
  11. Huyo mboni mnafiki tu alimfukuza Tyson kisa alimdai mshahara wake sababu anefanya kazi muda wote bila kumlipa sasa ameamua kwenda kumtoa kafara Tyson mungu amshindilie huyu mschana ana roho mbaya sana ya kichawi kabisa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mamaaaaaaaaaaa mboni?alipi mshahara?kamtoa George kafara?Mamaaaaaaaaaaa

      Delete
  12. Huyo mboni mnafiki tu alimfukuza Tyson kisa alimdai mshahara wake sababu anefanya kazi muda wote bila kumlipa sasa ameamua kwenda kumtoa kafara Tyson mungu amshindilie huyu mschana ana roho mbaya sana ya kichawi kabisa.

    ReplyDelete
  13. R. I. P. George Tyson

    ReplyDelete
  14. R. I. P. George Tyson

    ReplyDelete
  15. Aisee i'm speechlec bt mapenzi ya MUNGU yatimizwe.Tsichukulie mambo kirahisi hvyo haya yanayotokea kuna siku tutarudi. tulikotoka, MUNGU WA UPENDO TUSAIDIE

    ReplyDelete
  16. Tulikupenda mwanadamu mwenze2 MUUMBA wako amekupenda zaidi.NA nyie mnaoingiza mambo ya wanandoa hao mlikuwa mnalala nao kitanda kimoja mkajua kilichowafanya waachane?acheni hizo bhana,huo ni msiba mzito SN kumbukeni alikuwa bb..nd na jamaa MUNGU awape wepesi. Dr Ng'weshemi,kcmc

    ReplyDelete
  17. Nestory mtambo1 June 2014 at 11:12

    R.i.p tyson

    ReplyDelete

Top Post Ad