Mwongozaji wa Filamu Maarufu Nchini George Tyson Afariki Dunia kwa Ajali ya Gari Morogoro

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema mongozaji wa filamu maarufu nchini George Otieno Tyson (Pichani) amefariki dunia kwa ajali ya gari huko Morogoro.

Taarifa hizi ambazo zimethibitishwa na watu wa karibu yake zinasema kuwa, mauti haya yamemfika baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali na kupinduka walipokuwa wameenda kwa ajili ya kipindi cha  The mboni show ambacho yeye alikuwa ndiye muongozaji mkuu.

Wasanii na mastaa mbalimbali nchini wameoneshwa masikitiko yako juu ya kifo hichi ikikumbukwa kuwa ni siku tano tu zimepita tangu mwigizaji Rachel Haule alipotutoka.

Batuli: - Niongee nini, niseme nini Mwenyezi Mungu tusamehe sie waja wako, Yarabbi eeeeeh Mola wng, R.I.P My brother, My shemeji, My director......Eeeeeh Mola mpokee George Tyson wetu, Poleni wasanii wenzangu, Poleni team nzima ya the mboni show thembonishow Pole Monalisa wangu

Rose Ndauka: Ki ukweli sina LA kusema ila asante baba wa mbinguni kwa kila jambo. ...mola mpokee ndugu yetu, kwa mikono salama na umlaze pema peponi ameen.....R.I.P George Tyson.

Agness Masogange: R.I.P  George tyson mm siamin bado jmn E Mungu tuhurumie waja wako!

Flaviana Matata : This is very sad aisee,Rest In Peace Tyson.Mungu kakupenda zaidi, - monalisa pole sana dadangu,Mwenyezi Mungu awatie nguvu

Wema Sepetu - Kwa mara ya tatu bila hata kupumzika week... tunamzika mwenzetu mwingine... George Tyson.... Dah... Im just speechless.. RIP brother... Dah sijui Da Mboni wangu ana hali gani aisee.... Pole dada akee ... Mungu akupe nguvu wewe pamoja na team yote ya @thembonishow .... Pigo kubwa tena kwa wasanii.... Tunaisha tu jamani.

Aunty Ezekiel - Mungu wang Naomba useme na sisi jaman Mungu baba tuone sisi jaman Naumia siwezi elezea jaman RIP Tyson wang jaman Rip director .....Nakosa lakusema

Mohamed Mwikongi : Hakika yametufika, A film director George Otieno Tyson naye hatunae tena duniani.

George Tyson aliwahi kuwa mume wa mwigizaji Monalisa na kuweza kuzaa naye mtoto mmoja. Mung ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yote ni mipango ya mungu,mnachotakiwa wasanii ni kumshukuru mungu na kusali mumrudie Mungu. Msiishie kuuza suru micban na kuvaa sare za madira!!

    ReplyDelete
  2. ooooh RIP bro!!tumrudie Mungu jamani hali ishakuwa tete!!!

    ReplyDelete
  3. Jamani chonde chonde. Huyu Steven Nyerere aangaliwe zaidi ili asipige tena watu kwenye misiba. Ikiwezekana Mapolisi wawekwe standby kwa sababu huyo mjamaa kazidi kuwaonea watu, na hasa kwenye misiba........

    ReplyDelete
  4. Huyo Kicheche (Wema Sepetu) sijui kama safari hii tena atasema misiba imekuwa too much, kwa maana huyo KICHECHE amelaaniwa na Muumba wetu atupishie naye mbali.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wee nae embu acha zako mfyuuuu. WEMA mtoto wa watu kakufanyia nini?

      Delete
    2. RIP JIRAN YANGU GEORGE MUNGU AMEKUPENDA ZAID.

      Delete
  5. Rip george.lla wema misiba yote wema ajaonekana.aibuu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. labda msiba wa baba yako. ila wa Kuambiana na Rachael alikuwepo,au ulitaka atupie mapicha kama wanaoenda kuuza sura?? Umkome WEMA mbwa wewe.

      Delete
  6. Mnampa pole Mona ya nini?alimtosa Tyson akaolewa na muarabu.Wa kumpa pole Ni mtoto wao,she is now 15years I think.

    ReplyDelete
    Replies
    1. I 100% agree with you. Huyo Monalisa ni KICHECHE mwingine ambaye hata hafai kuonekana kwenye msiba huu. Hiyo itakuwa ni kama kumpa kick mtu ambaye ni mshenzi aliyemtosa mzazi mwenzake.

      Delete
  7. Hivi George alioa baada ya kukimbiwa na monalisa?kwa wanaojua watiririke

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ninachokijua ni kuwa Monalisa ameendelea kuwa Malaya wa Kutupwa. Na nina wasiwasi kama hana UKIMWI. Itabidi afanye hima akapime kabla ya Mazishi ya aliyekuwa Mzazi mwenzake.

      Delete
    2. Asante mdau

      Delete
    3. Mona punguza umalaya usije muacha Sonia yatima,Hivi Mona Ni kweli Malaya ?jamaniiiii,it's sad

      Delete
  8. Acheni kumuandama Mona wa watu.. kwani marehemu mapungufu yake mlikua mnayajua?? mmemkomalia mtoto wa watu utadhani nyinyi mmekamilika..Sasa huko msibani mlitaka asiende?? ujinga tu

    ReplyDelete
  9. Nyie majambawazi wenye kumsakama MRS TYSON ni kwamba,Mona msibani ataenda kwa kuwa ndiye mke kiimani na ni mama wa mtoto.mkajinyonye kama hamtaki.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ana mumewe muharabu yakhe!

      Delete
  10. mdau 2.41 sema Mona yupo msibani sio ataenda,na alikuwa wa kwanza kupewa taarifa.Pole Monalisa,A.K.A.mrs Tyson.R.I.P Tyson.

    ReplyDelete
  11. Wa2 2mekuwa wakuhukumu binadamu wenzetu bila kujua lolote, marehemu na mzazi mwenzie walikuwa wanaelewana sasa maneno ya kashfa kwa monalisa yanatoka wapi kipindi kma hiki! Cri ya m2ngi anaijua kata hvyo wao ndio wanajua sababu ya kuachana kwao na c lazima wafanye tangazo watanzania wote tujue. R.i.p george tyson

    ReplyDelete

Top Post Ad