Hatimaye Wastara Apata Mchumba London..Avishwa Pete..See Pictures

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

From London With Love ...!!! Star mkubwa wa filamu nchini Tanzania Wastara Juma ambaye kwasasa yupo London Uingereza amevishwa pete ya uchumba huko na mwanaume anayeonekana hapo pichani. Wastara aliweka picha kadhaa kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii na wengine kudhani ni filamu mpya. Star mwenzake pia Riyama Ally ambaye wapo wote huko London nae aliandika "Ama kweli Mungu akitaka kukupa haandiki barua......, kila la kheri mama huu mwanzo mzuri kwako". Baada ya kuona picha hizo haraka sana Swahiliworldplanet ilimuendea hewani Wastara akiwa huko huko London na kumuuliza kama ni movie au ni kweli, tofauti na siku zote ambapo kama ni movie Star huyo huweka kweupe lakini safari hii alionekana hana la kusema pengine kwa furaha na kuishia kujibu kwa ufupi kwa kusema "No comment" alipododoswa tena alijibu hivyo hivyo tena "No comment".

Wastara Monalisa, Riyama Ally na Cloud ni takribani wiki tatu sasa wapo London kwa mwaliko maalum na kucheza filamu inayoitwa Ughaibuni(Abroad) ambapo tayari wameanza kuishuti. Tungependa kuwatakia kila la kheri wawili hao .Angalia picha zaidi Wastara akivishwa pete hiyo.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

29 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera wastara.

    ReplyDelete
  2. Hongera wastara.

    ReplyDelete
  3. ushuzi !!!!nanai ataoa mwanamke kiguru,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huwezi jua na wewe ni lini utakuwa kiguru, hakupenda awe hivyo.

      Delete
    2. Wivu utakutoa roho na wewe mbona kiguru mavi yako.Mlemavu mtarajiwa

      Delete
    3. hapa nilipo tu kiguru,,,niwe kiguru mara ngapi..kuma mae zenu

      Delete
    4. Nana ushalaaniwa wewe

      Delete
  4. Hongera Dada Ang.

    ReplyDelete
  5. Movie hy jamani

    ReplyDelete
  6. Hongera bdada.....

    ReplyDelete
  7. mala hii bibi ww machozi kweli mtu anaye lia si km anauchungu bali kazaliwa anamachozi mengi

    ReplyDelete
  8. hongera mwaya hata akikaa kimya pengo halizibiki olewa mwaya

    ReplyDelete
  9. Wazungu kwa kifiro wako juu so take care!!

    ReplyDelete
  10. mtakufa na vijiba vya roho huku vinywa vikowazi hee!! kwa hiyo nyie wengine mlitakaaendelee tu kulia jamani watu wabaya !!!

    ReplyDelete
  11. wabaya nn ni mapema kuolewa kwan anaharaka ya wapi 2 yrs bado na mchumba tyr kweli siyo kila mtu analia anauchungu wengine kulia kawaida yao mala hii shost Sajuki kashasahalika kwel kazi

    ReplyDelete
    Replies
    1. We kimba mbonawanaume ikimalizika 40tu anamke hebu muacheni wastara mnaroho mbayaaaa wabongo hebu tubadilike.kama mtu unachuki zako namtu ndio umkandamizee hatapasipostahili.asiwe na mwanaume mwingine kwanini ilihali mungu kaona ampe wewe ninani basi hatauseme??wakat yako yanakushinda tuache roho mbaya na majungu simbilisi nyie.

      Delete
    2. kimba baba yako nyau we tumuonee wivu kwa lipi sana sana ana majanga tu uyo pengine hata Sajuki asingekufa sbb yake na mibalaa yake nani sasa wakumuonea wivu mtu km yeye achilia 40 kwisha sbb lijifanya anampenda sana sajuki ata nyege za ndoa asingekuwa nazo sasa anaharaka angesubil 2yrs ndiyo atuonyeshee uyo bwana msenge ww

      Delete
  12. kwa taarifa yako ww uliyesema tutakufa kwa vijiba vya roho ss kwa lipi apo la ajabu wastara tunapenda sana aolewe but ni haraka sana kuchumbiwa kwa uchungu aliyojifanya anao nikajua atakaa kdg then aanze kutuonyesha uyo chotala wake maana si mzungu uyo yupo jm muhindi au ka mix

    ReplyDelete
  13. Hiyo ni filam wameenda kuigiza uk jamani na sio kweli

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata kama ni filamu sawa, ila wastara anapenda sana kuolewa, nini miaka miwili wakati mwenzenu alitamani aolewe hata miezi michache tu baada ya eda

      Delete
  14. Angalie mwanaume asiwe muuza sembeeee tu kila la kheriiii

    ReplyDelete
  15. Wewe uliesema wazungu kwa kifiro wewe ufanyani? Unamtaka wewe fyuuuuuu!

    ReplyDelete
  16. Usiombe ufiwe na mume utaona dunia inakuelemea muombeen kheri na ombeni yasiwafike n yakiwafika muomben mungu awasitiri bora aolewe kuliko kuzini n kuwa n huzuni kwa kukosa mume.....

    ReplyDelete
  17. kila la heri mwaya,

    ReplyDelete
  18. admin 2wekee upande comment vzr bna

    ReplyDelete
  19. Hongera mama yalisemwa mengi lakini lakini Mungu kafungua njia

    ReplyDelete

Top Post Ad