Wanafunika Nywele Lakini Wanafunua Matiti!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Afrika kama tunavyoifahamu, ilikuwa ni sehemu ya Mila na Tamaduni bora kabisa, sehemu ambayo heshima adabu vilikuwa ni msingi wa jamii yake, hasa kwenye jamii.


Ni sehemu ambayo masikini waliishi kwa mlo mmoja lakini bado waliheshimiana, kuvumiliana na kupendana. Ni sehemu ambayo binti angekutwa akifanya mambo ya aibu basi wazazi wake wangenyooshewa vidole kwa malezi mabaya kwa binti yao. Vivyo hivyo kwa vijana wa kiume. Mambo haya yalipatikana zaidi kwenye nchi nyingi za kiafrika na Tanzania ni mojawapo.

Ila kwa sasa, Waafrika wengi, hasa vijana wamezua mijadala mingi inayotokana na mienendo ya tabia zao zinazopelekea kuvunjika kwa Mila na Tamaduni bara hili…. Kitu kinachozua maswali juu ya nani wakulaumiwa kwa kuvunjika na kuharibika kwa Mila na Tamaduni za Afrika…? Mfano mdogo uko kwenye hiyo picha hapo juu, huyu binti anafunika nywele kwa imani lakini anafunua matiti. Dini, shule, wazazi, walezi na walimu wameshindwa kukisaidia hiki kizazi. Ni nani wa kulaumiwa? Kwangu mimi hiki bado ni kichekesho tu!
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. unaleta mada bila kuifanyia utafit?hapo sio suala la dini cku hz kuvaa hijabu na fashion hata km hana dini anaweza kuvaa hijabu pia aweza kuwa anaficha uchfu wa nywele zake

    ReplyDelete
  2. nana we sio mzima kabisa,nafikiri ulitoroka milembe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. baba yako yuko milembe bora mimi nilitoroka...pumbavu mkubwa

      Delete
  3. Hili sio suala la dini ss hv wanavaa hijabu km fashion ya mjini tu angekuwa na dini huyu asingefunua matiti yake

    ReplyDelete

Top Post Ad