Wanaume Wananichukulia Tofauti na Nilivyo...Siko Hivyo Jamani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Naombeni mchango wa mawazo, imetokea wanaume wananiambia ati wananiogopa, mie ni mbabe, najiamini sana na wengine huenda mbali kwa kusema mwanamke wa dizain yako sioi.

Kwakweli sipo hivyo na huwa naumia sana mtu anaponitamkia hayo. Nasikitika mana sielewi ni kitu gani na kutongozwa na waume za watu kumezidi il a sio na singles?

Tafadhalini wanajamii naimani kuna watu wanaofahamu vizuri psychology wanishauri jamani.

Asanteni kwa kunijibu bila kejeli

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mh! Umri umeenda

    ReplyDelete
  2. Matako ya mchina wanaogopa yataozeana

    ReplyDelete
  3. http://cashnjob.com/index.php?refer=109808

    ReplyDelete
  4. Kwanza sisi watu wa psychology tunatakiwa tujue elimu yako,umri na mazingira ambayo unapatikana ndio tutaanza kukupa ushauri

    ReplyDelete
  5. nenda kafanyiwe maombi my dear.

    ReplyDelete
  6. Why single until now?! Do you have a kid or can you produce one and how old are you? Physicall morphology has nothing to do with your status.

    ReplyDelete
  7. jimama ilo jinga sana, linene hlf linajianika uku udaku watakufira hakuna wanaume wa maana uku... Muombe mungu

    ReplyDelete
  8. Mwee iv kweelii kabisaaaa ebu nisake nikusaidie malengo

    ReplyDelete
  9. story za kuchonga pic ya kuokota

    ReplyDelete
  10. umekaaa ki kahaba zaidi ndo maana unatongozwa na waume za watu tu ili wakutumie then wasepe zao,,we kundu loteee hilo atakuweka ndani nani malaya weee?

    ReplyDelete
  11. Mmh mwanamke mwenye maadili,msomi,mwenye HOFU ya MUNGU uwezi kujitoa humu media Uombe ushauri wa dizain hii, kaombewe utolewe mapepo......

    ReplyDelete
  12. Nitafute.. mimi ni single natafuta mke wa kuoa.. naona utanifaa..

    ReplyDelete
  13. Wanaua wanakuchukia kwa sababu wewe unapenda tigo

    ReplyDelete
  14. Sali tu mungu atakuonyesha!

    ReplyDelete

Top Post Ad