Amina Maige akana Shitaka la kumchoma Pasi na Kumng’ata Hausigeli wake..Arudishwa Rumande Zamana yaKataliwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkazi wa Mwananyamala, Amina Maige(42) anayetuhumiwa kumng’ata mfanyakazi wake wa ndani,  amepandishwa kizimbani kusomewa maelezo ya awali baada ya upelelezi wa kesi hiyo kukamilika.
 
Amina  alisomewa maelezo hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni mbele ya Hakimu Yohana Yongolo.
 
Wakili wa Serikali Tumaini Msikwa alidai kati ya Januari na Juni mwaka huu, maeneo ya Mwananyamala Wilaya ya Kinondoni, Maige alimng’ata Yusta Kashinde(20) sehemu  mbalimbali za mwili wake na kumsababishia maumivu.

Mshitakiwa alikana maelezo aliyosomewa na kwamba aliiomba mahakama kumpatia dhamana.

Wakili Msikwa aliiambia mahakama kuwa dhamana ya mshitakiwa imezuiliwa kama awali kwa kuwa bado  wananchi wana hasira hivyo kuhofia usalama wake.

Hakimu Yongolo alisema shauri hilo litaanza kusikilizwa  Julai 10 mwaka huu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyo mshenzi huyo mama hana roho ya kawaida na sio BINADAMU,bora ukutane na simba kulikoni huyo mmama

    ReplyDelete
  2. Haina haja ya kumpa dhamana ana kana nin na wakati ushaidi unaonekana makovu yote ya huyo dada aliyo nayo anataka ushahidi wa nin???

    ReplyDelete

Top Post Ad