AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Amina alisomewa maelezo hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni mbele ya Hakimu Yohana Yongolo.
Wakili wa Serikali Tumaini Msikwa alidai kati ya Januari na Juni mwaka huu, maeneo ya Mwananyamala Wilaya ya Kinondoni, Maige alimng’ata Yusta Kashinde(20) sehemu mbalimbali za mwili wake na kumsababishia maumivu.
Mshitakiwa alikana maelezo aliyosomewa na kwamba aliiomba mahakama kumpatia dhamana.
Wakili Msikwa aliiambia mahakama kuwa dhamana ya mshitakiwa imezuiliwa kama awali kwa kuwa bado wananchi wana hasira hivyo kuhofia usalama wake.
Hakimu Yongolo alisema shauri hilo litaanza kusikilizwa Julai 10 mwaka huu.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
kazi kwelikweli.
ReplyDeleteHuyo mshenzi huyo mama hana roho ya kawaida na sio BINADAMU,bora ukutane na simba kulikoni huyo mmama
ReplyDeletewtf..!
ReplyDeleteHaina haja ya kumpa dhamana ana kana nin na wakati ushaidi unaonekana makovu yote ya huyo dada aliyo nayo anataka ushahidi wa nin???
ReplyDelete