Dr Slaa Aikalia Kooni Serikali Ufisadi wa Fedha za ESCROW

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa amevunja ukimya na kuitaka serikali iache porojo kuhusu ufisadi mkubwa wa Fedha Escrow.

Dr Slaa ambaye kwa sasa ndiye kiongozi mashuhuri zaidi wa upinzani nchini ametaka hatua za haraka kuchukuliwa kuhusu wizi huo ikiwemo kukamata wahusika wote na kuwafungulia mashtaka.

Kiongozi huyo tishio kuu kwa chama tawala amesema serikali imekosa uwajibikaji kwa kuendelea kunyamazia wizi huo huku wahalifu wa hujuma hiyo wakilindwa.

Kutolea kauli suala hili kwa Dr Slaa kunafanya sakata hili kuchukua sura mpya zaidi ikikumbukwa jinsi Kiongozi huyu alivyosimamia kidete suala la wizi wa Fedha za EPA mpaka ikalazimu Rais kuingilia kati na kuunda tume maalum kuhusu suala hilo.

Source:Tanzania Daima
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dr.slaa wewe ni mzalendo namba moja Tanzania.Mungu akulinde na kukuongoza katika harakati za ukombozi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mhhh hata sikubali mwizi tu nae

      Delete
  2. Tuko pamoja na wewe rais wetuu!tuliyaona yale yote uliyokuwa ukipambana na mafisadi ya epa sasa wametuibia tena mkuu tusaidie na tuko nyima yako!

    ReplyDelete
  3. Mi naona tunge muhunga mkono jamaa tusijali tuko chama gani wizi umezidi imekua kama mila na Desturi yetu

    ReplyDelete
  4. Silaa mwizi mkubwa kama hao CCM

    ReplyDelete
  5. rais pekee atakuwa Mh Edward Lowassa. anayebisha aje hape tubet. hilo ndilo jembe la kisawasawa achana na hao wengine

    ReplyDelete
  6. Mwizi anavijua vichengo vyote wizi na atajaribu kuviweka hadharani ili yeye akianza kuiba asijulikane wa kukubalika kama ni mwizi. TUWE NA AKILI ZA ZIADA. TUMESHAZOEA KUSHIKIWA AKILI ZETU NA WAJANJA. Zindukeniii.

    ReplyDelete
  7. ZINDUKA:- 2X2 jibu lake ni 4, pia 2+2 jibu lake ni 4. Sasa 3x3 jibu lake ni 9 Ila 3+3 jibu lake 6. Jiulize swali kwa nini isewe sawa na majibu ya mbili? ZINDUKAAA MWANANCHI

    ReplyDelete
  8. Lowassa jembeeeeeeeeee Lowassa jembeeeeeeeeeee Lowassa jembeeeeeeeeee huo ndio ukweli hata ukibisha ila ukweli unaujua Lowassa jembeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  9. Kweli mdau hapo juu nchi hii rais atakuwa lowasa sio washenzi wengine

    ReplyDelete
  10. Kweli mdau hapo juu rais pekee lowasa nchi ii wengine sarakasi tu

    ReplyDelete

Top Post Ad