Laiti CHADEMA wangezingatia ushauri wa Zitto Kabwe kisingekufa kwa style hii

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bado nazid kukihurumia sana chama hiki.

Chama kilichokawa kinachukua kasi ya kusambaza mabadiliko na kuichallange CCM lakin migogoro isiyokwisha na uchu wa madaraka wa viongoz wa juu wa chama hiko umekiua moja kwa moja.

Nakumbuka kauli za Zitto kabwe kipindi kile aliposema ya kwamba huwez kuharibu Taswira ya Zitto kabwe huku ukitaraji kwamba chadema itabaki salama.

Maskini Chadema walipuuza maneno yale.
Wakaweka pamba maskioni na kumchafua zitto kabwe ili wammalize kisiasa pasi na kujua kwamba walikua wanajiua wao wenyewe na chama chao.

Siku zimekwenda Nyota ya Zitto na Taswira ya zitto imeharibika kwa wahafidhina wa chama hicho huku upande wa pili kwa wananchi ikiendelea kunawiri.

Kunawiri kwa nyota ya zitto kwa wananchi kumekuwa inversely proportion kwa upande wa nyota ya chama hiko.

Kwani ndivyo kimezidi kufifia zaidi.

Nakihurumia sana chama hiko.

Nani sasa ataitoa CCM madarakani??
Nakita via JF
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Cdm kwisha kazi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Admn umekuwa bogus,unaandika article ya kihanisi kama hiyo hapo juu ,alafu chini unacomment mwenyewe kama mwehu!

      Delete
  2. Mafisadii oyeee sasa ndio kula nchi kwa ubua maana hakuna tena wa kutuzuia wananchi wenyewe wamelala!alalae usimuamshe maana utaamka wewe!

    ReplyDelete
  3. Kwan nani alisema Chadema.bila zitto haiwezekan, chadema c chama cha mtu mmoja na acha kutumika, ni ww ndie kwako na nyumban kwako ananawiri kwa sababu una sababu nyuma ya hili...
    Ww na ccm wako ambao mmetuma zitto mtaisha lakini chadema itasimama, tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu na Zitto sio Mungu wetu..kama ww wamuona wa maana sana unaweza kumuabudu lakini chama hakiwezi kufa bila yeye...
    Kwani Zitto ni nani chadema??? Alikikuta chama na atakiacha, kwa hyi sio point unayoongea zaid ya kuonyesha ujinga wako wa kufiiri...na hii mara ya pili nakuonya ukiendeleza huku kutumika kwako kisiasa na ushabiki wa kupumbavu utaiua hii blog...Kama unataka mashabiki wako kusupport akili yako maji watakuja lkn sidhani kama ulipokuwa ukianzisha hii blog ulianzisha kwa makusud ya kutumika...Au ndo tujue tyr unaenda kuingiza buk 6 yako magamba..
    Mimi nakuona ww ni kama shetani tu ama mganga wa kienyeji ambaye kwenye nguvu ya Mungu huwez, utaishiwa kugawa utu wako na u..hi, lakini chama kitasimama tu...Tunajua mlianzia mbali udini, ukabila ukanda na yote yalikwama na hata hili hutaweza, maana chadema ni mpango wa Mungu c wa binadamu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyu adm kweli katia aibu kutumikia mafisadi na wakala wao zitto

      Delete
  4. We Admin umepewa shilingi ngapi kwa kuandika hii habari hebu utujuze!maana nikuonyesha ni jinsi gani njaa ulivyoivalia kibwaya!

    ReplyDelete
  5. admin mpumbavu xana we mamako unadhan wat wote tnafulia ufisad, tunamalza chuo na jkt subri watunyanyase ccm utatujua tunavowasambalatsha. Tumechoka kulnda matajr cie maskn

    ReplyDelete
  6. Cdm ni mpango wa Mungu??????, Tumwache Mungu aitwe Mungu lakini si kwa hilo unalorakaa tuaamini mdau hapo juu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwahiyo wewe unalazimisha sio mpango wa mungu sio?!basi ccm ni mpango wa shetani kwa taarifa yako!walafi na majizi wakubwa nyinyi mnaitafuna nchi nyinyi na familia zenu huku mkiwaacha watu na umaskini na nyinyi kugawana madarak tu!chadema ni mpango wa mungu CCM ni mpango wa shetani umeskia wewe mdau hapo juu unayebisha!

      Delete
  7. Hv kwann unakuwa na ushenzi usiokuwa na tija ya kuwekwa hadharan au unadhan sifa watu kukujua kuwa wee unatumika? Acha kupotosha umma zitto ananawiri kwa lipi? Acha hizo admin

    ReplyDelete
  8. polen sana ukweli unauma sana povu zawatoka lkn ukweli mmeupata cdm chalii kweli kivunamacho akidumu ccm ipo juu sana pmj na ufisadi lzm tuwape tena wallah polen jaman maana joto hasira juu kuweni wapole uo ndiyo ukwee

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuna watanzania kweli tukisema wamerogwa huwezi kukataa!sasa kama huyu jiulize hivi kweli ni mtanzania au?!eti pamoja na ufisadi lajini tutawapa tuu!duh kweli nimeamin kila siku wajinga wanazaliwa!ila watu kama nyinyi asili mia mia moja utakuwa kula kulala tuu wewe hata bei ya sukari si zani kama hata unajua ni shilingo ngapi!nenda kamuulize aliye kuweka mjini kuhusu ugumu wa maisha na vitu kupanda bei bila sababu kima nyoko wewe!

      Delete
  9. Chadema.haitakufa ww uliyeandika utumbo huu ukiwa duniani.

    ReplyDelete
  10. Ccm wanalia na.UKAWA,hawana mpango na zitto tena keshafulia kisiasa

    ReplyDelete
  11. Sasa wew Admin umeandika nin hapa? mbona sioni point, acha upuuzi pumbafuu mkubwa wew!

    ReplyDelete
  12. wewe admn unagongwa wewe, nyie ndiyo mnaipeleka nchi hii kushoto, nani kakwambia Chadema kinakufa? bwege wewe.

    ReplyDelete
  13. Mimi nataka viongozi wazalendo wenye akili ya kuiongoza nchi hii na wenye hekima na hofu ya Mungu tu,chadema,Ccm,tlp,nk tupa kule.
    Nachoangalia ni kiongozi shupavu tu!Teh,teh,poleni mnaotetea vyama!

    ReplyDelete
  14. Hakuna haja ya Matusi Jamani!!!! Nani ana uhakika Chadema hakuna mafisadi, nani huyo ana uhakika kuwa hakuna maovu huko Chadema? Waulizeni wanachama wenyewe utabaini mengi. TANZANIA hatuhitaji chama!!! Tunahitaji viongozi WENYE HOFU YA MUNGU, WENYE UTU, WANAOJALI WATU, WANAOONA MBELE KUNA NINI, WACHAPA KAZI, WENYE HURUMA WENYE KUWATHAMINI WENGINE na mengine mengi. Mtu watu wanaotukana, wanaohamasisha vita, wakisimama majukwaani ni kuwashutumu na kuwalosoa wengine. Kiongozi shujaa anaongoza njia na wengine wanamwamini. Hata CCM ikifa Leo kama hatutapata watu wema ni kazi bure. HAKUNA CHA MPANGO WA MUNGU WALA WA SHETANI KILA MTU ANATAMAA YA KUFIKA IKULU, NA KULA SEHEMU YAKE NA NDUGU ZAKE. Tusidanganyike na maneno mengi. Acheni Matusi. Tuchape kazi kwa bidii na kujigundulia namna ya kupata riziki kwa familia zetu. SI CHADEMA WALA CCM WATAZILISHA FAMILIA ZETU. TUACHE ULIMBUKENI. Dah!!! Tunazolewa kama takataka tu kutafutia familia za wengine waishi kwa raha na kusoma kwa raha, huku zetu zikila mlo Mmoja na kusomea shule zisizo na madawati, walimu hata vitabu. Jamanii eeee huuu ni .......

    ReplyDelete
  15. zitto unatia huruma sana hapo ulipo ushakula hela za ccm mpaka ili uchafue chadema sasa unanawiri wapi sura km umechomwa sindano ya jichoo kuku wewe hapo umesoma na una pesa lkn bado unaonekana km mtu ulie kijijin kimwonekanoo sura yako je km ungekua kijijin kigoma unakula ugar wa mhogo na mawese na ukaliwa funza miguu hiyoo ungekuajee aisee shame on u boy

    ReplyDelete
  16. Ni mwisho wa mimi kutembelea tena ukurasa wa haka kablog uchwara.! Mi nilijua admin ana akili lakini kumbe ni matope!!!

    ReplyDelete
  17. nilikuwaga mdau mkubwa wa MICHUZI BLOG, lakini sasa hivi sitii hata pua huko, sababu jamaa alipost vitu vingine ni ccccmmm tu, pumbaf, hawa jamaa wanajiharibia biashara wenyewe, ukileta siasa kwenye biashara yako, ndiyo unaimaliza, kuweni makini jamani.

    ReplyDelete
  18. Vyama vyote mna haki ya kukosoana ili kujenga taifa na ndio uhuru wa MAONI demokrasia sasa MAONI ya mmoja wenu mkiwa mnamuona adui hatufiki niletegemea wanao comment ni tofauti na wale wa kijijini ili wawape elimu! kumbe wapi kwa mtaji huu?

    ReplyDelete

Top Post Ad