Ladies Tuwe Makini Tunapotengeneza Hips Kwenye Picha Zetu Kwa Kutumia Kompyuta Ona Huyu Alivyochemka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku hizi, hakuna lisilowezekana kiteknolojia, mfano hips, unaweza weka za mchina ukatutambia nazo au unaweza bakia huna hips ila picha zako za instagram, whatsapp na FB ukazileta kwa wataalam tuzitanue uonekane una hips kwa Kutumia Kompyuta. Ndio faida ya teknolojia. Ila unavyomtafuta "mtanuaji" uhakikishe unampata aliye makini, la sivyo atakuumbua, anaweza tanua hips na Mlango. Angalia Hiyo Picha Hapo Juu Hips la Upande wa Kushoto limetanuliwa ila alie tanua akatanua na Mlango Pia .....Hahah Hips Don Lie!
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. heee he he he he aah ha ha ha ha mwe mbavu zangu mie jaman nmecheka hadi machoz yaani wametanua hadi mlango na ye kataka atanuliwe hips jaman nyie!!

    ReplyDelete
  2. Hahahahaaa! Ndo leo naona na kujua hilo!!! Kumbe ndo cri ya urembo!! Duuu!!! Kaz mnayo wadada! Hamkubalian na mungu alivyowaumba!

    ReplyDelete
  3. Asante Mungu ulinipa Orginal Hips Eeh Mungu sijakupa Rushwa wala nini" Ni upendeleo Wa kiungu tu Mfalme Wa Wafalme Ameen'

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mshukuru Mungu sn dada wenzio wanakosa usingizi kwa ajili ya Hips na tako!!' jitunze sn!!' na usijiraisishe kwa wanaume!!!! Kuwa na nguo ZA kuonyesha shep yako.

      Delete
  4. mi mwenyewe mwanamke cna hips kihiiivo lkn mwenzenu ckujuaga kama kunakutanuliwa hips na compyuta mwee kumbe admin unatupachikiaga picha mtu ana hipsi hizoo kumbe wanatanua?!! kwani hadi makalio yanaonekanaga makubwa nayo wanatanua?? ladys kaz tunayoo sasa vip kwa wanaokufahamu!!

    ReplyDelete
  5. Hahahahahaha!!Hehehehehe!!khokhokhohkho!!pyuuuuuuuuu!!Ntyaaaaaaaaaaaaaaaa!!uwiiiiiiii!!Hips za tumbo

    ReplyDelete
  6. hyo haijatanuliwa kwenye computer ila kwenye simu....

    ReplyDelete
  7. Mwanamke siku zote jikibal vle mungu alivyokuumba.

    ReplyDelete
  8. Than mungu kwa nilivyo ..ninamvuto Vasili name cshoboki.

    ReplyDelete
  9. ktk sim yako download plastic surgery App utajtengeza mpk uchoke

    ReplyDelete
  10. Hahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahaahhahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahayaalayalayalayalayalaylayalayalayalaylahahahhahahahahhahahahaahahaahahaahahaahaahaha

    ReplyDelete
  11. huyo hajielewiii! kwanza shepu yenyewe ya kuongeza hipsi hana! asituchekeshe sie

    ReplyDelete

Top Post Ad